Utafiti: Watumiaji wa simu za Tekno huweka nyimbo za kawaida kama miito ya simu zao

Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
10,281
18,397
Kawaida ya hoja hujibiwa kwa hoja, utafiti hupingwa kwa utafiti.

Iko hiviii wale ndugu zangu wanaomiliki au kutumia simu zinazotengenezwa na kampuni ya Tekno ndio hupendelea kutumia nyimbo za kawaida (muziki) kama miito ya simu zao, nyimbo za bongo fleva, reggae, nyimbo za kiingereza iwe rap n.k, wanabadilisha mara kwa mara leo harmonize, kesho sijui Harmorapa, mara Beyonce n.k

Hii ni tofauti sana na watumiaji wa brands zingine kama Iphone, Samsung, Oppo , Xiaomi na wengineo. Watumiaji wa kampuni hizi zingine hutumia mtetemo(vibrations) na ringtones zinazokuja na simu moja kwa moja.

Kwa udadisi wangu nimebaini watu hawa hufanya hivyo ili kuvuta attention ya watu wengine ili ionekane na wao wanamiliki simu janja (smartphone).
Wengine ni wale wanaotoka up country hivyo wakiingia mjini hutaka kila mtu ajue kwamba na wao wamenunua au wanamiliki simu janja.

Tabia ya watu hawa hufanana na watumiaji wa infinix phones usibishe fuatilia tu

Good morning all

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida ya hoja hujibiwa kwa hoja, utafiti hupingwa kwa utafiti.

Iko hiviii wale ndugu zangu wanaomiliki au kutumia simu zinazotengenezwa na kampuni ya Tekno ndio hupendelea kutumia nyimbo za kawaida (muziki) kama miito ya simu zao.

Hii ni tofauti sana na watumiaji wa brands zingine kama Iphone, Samsung, Oppo , Xiaomi na wengineo.

Kwa udadisi wangu nimebaini watu hawa hufanya hivyo ili kuvuta attention ya watu wengine ili ionekane na wao wanamiliki simu janja (smartphone).
Wengine ni wale wanaotoka up country hivyo wakiingia mjini hutaka kila mtu ajue kwamba na wao wamenunua au wanamiliki simu janja.

Tabia ya watu hawa hufanana na watumiaji wa infinix phones usibishe fuatilia tu

Good morning all

Sent using Jamii Forums mobile app

Membe Jr
 
Simu sare kama madela,ukipanda daladala unakuta kila siti ana brand hiyo daah! Hapana aisee

Membe Jr[

Inaonekana umejawa na ubinafsi wa hali ya juu sana. labda hujui hiki. Maisha yapo tofauti sana. kinachofurahisha zaidi hata nyie wa Iphone na brands nyingine zote za bei mbaya Mnatumia mitandao hii hii Voda,Tigo,Airtel Nk. Nothing new in your brands in Tanzania zaid ya sifa tu kuwa unayo sim ya bei kali
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom