Kwanini baadhi ya wanaume hukataa kutoa talaka?

Huyo mwanaume anahitaji deliverence.

If I were in a position to meet him I would have delivered him from all stupid senses that prevent him from being a responsible man.
 
Na bahati mbaya sana kwa tanzania mpaka kuja kumpata mtu wa aina yako umefanya kazi..hawapatikani kirahis washauri hasa waliobobea..
Huyo mwanaume anahitaji deliverence.

If I were in a position to meet him I would have delivered him from all stupid senses that prevent him from being a responsible man.
 
Sasa jambo la msingi hapa ilikua ni mume kutoa talaka..hakuna figisu..figisu kaleta mwanaume
Na figisufigisu zote hizo ni sababu ya huyo mke wa pili, wanawake ni shida aisee....usikute jamaa kaleta mke wa pili ili kumfunga speed gavana maana hawachelewi kukupanda kichwani hawa, full kukufungia milango usitoke ndani
 
Hiyo talaka ndiyo inatafutwa for the two yrs now..mume hatoi
Chanzo cha mgogoro huu ni upande wa mke, kumuunga mkono mtoto wenu badala ya kuwa sehemu ya usululishi,kwa hakika huyo binti yenu atapewa taraka.Mwisho kumetokea utamaduni hasa wazazi ,ndugu jamaa wa upande wa mke kushindwa kuwaonya watoto wao panapotokea migogoro katika ndoa zao hasa binti yao akiwa na uwezo kiasi wa kiuchumi.Timizeni wajibu wenu katika kuonya na kukemea
 
Walitengana kil mtu akaanza maisha yake ndiyo bwana akapata mtu wa kuishi naye...
Wametengana au amehamia kwa mke mdogo?Huyo mwanamke mwingine ni mkewe ama sio mkewe?Inavyoonekana huyo bi shosti anayedai talaka ana kautata fulani na mmewe kamletea bi mdogo ili atulizwe.
 
Pole yake sana...

Moja, huyo mwanaume ni mbinafsi... Mbili, kuna msemo unasema mwanaume hujua kuoa tu, kuacha hajui...

Tatu, kutoa talaka anahofia labda kugawana mali...


Cc: mahondaw
 
Aseee, ni simpo sana kama huyo mama ana sababu za msingi.mme ataitwa mahakamani kama hayupo mke atapewa taraka na mahakama. Mimi shahidi nilipewa taraka na mke wangu.
IMG-20190314-WA0001.jpeg
 
Hata mimi nimeshauliza mara kadhaa mwanamke je anataka talaka kweli? Anasema kama mume hamtaki ampe talaka kama anamtaka basi amrudie kwasabu bado anampenda...lakin yote hayo mume hatoi ushirikiano sasa itakuaje?
Ila kuwa makini usije ukaonekana wewe unaachanisha wanandoa, na huyo huyo unaemtetea akasema wewe ndio ulie mshawishi.........Angalia ndugu yangu ndoa hizi mmh, utaonekana mbaya bure
 
Tafadhali naomba kueleweshwa hasa ni sababu gani zinasababisha mwanaume hususani wale wa kiislam kukataa kutoa talaka?

Nina ndugu yangu huu ni mwaka wa pili mwanaume hataki kumpa talaka na hamhudumii kwa chochote pamoja na kuwa amemuachia mtoto ila kuna siku huyo mwanaume huibuka kutaka amsalimie mtoto lakin akiambiwa matumizi hatoi.

Ila huyo mwanaume tayari anakaa na mwanamke mwingine na wameshazaa mtoto mmoja.
Sasa haelewi sababu iko wapi talaka hatoi?

Na huyu mwanamke akimpigia simu mwanaume hapokei ila yeye anataka ndiyo siku akijisikia anapiga na simu yake ipokelewe
Si useme ni wewe tu mkuu?

Huwezi kujua yote hayo kama wewe sio muhusika mkuu!

Hii ni ishu yako
 
Back
Top Bottom