Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

MATUMIZI YA MLONGE.
yafuatayo ni matumizi na jinsi ya kuandaa mlonge.

1. kama unataka unga utokanao na majani ya mlonge fanya yafuatayo...
Chukua majani Kisha uyaanike kivulini ikiwa ndani itapendeza zaidi au yaanikwe kwenye jua la saa 2-4 asubuhi mpk yatakapokuka.

Baada ya kukauka unaweza kutwanga au kusaga ili mradi upate unga wake
MATUMIZI
changanya unga wa mlonge kwenye chai au maji ya uvuguvugu kwe ujazo wa kikombe cha chai kisha unywe Fanya hivyo mara 2 au 3 kwa siku kila kwa wiki au zaidi.

2. Mbegu za mlonge : hapa unatakiwa utafune mbegu za mlonge 3x3 yani asubuhi 3 mchana na usiku kila siku kwa siku 3.
Au unaweza kutwanga mbegu za mlonge ili upate Unga.
Nb: kama utapenda unga tumia kijiko cha chai kwenye maji ya uvuguvugu au chai kwa wiki 3
ONYO: Ukizidisha kipimo cha unga unaweza kupata maumivu ya kichwa na kuhisi kizunguzungu.


3. Kwa matumizi ya Mizizi na magome ya mlonge. .... Hapa unatakiwa kuchimba mizizi au kutoa magome kisha osha kwa maji safi Baada ya hapo weka kwenye sufuria na kipimo cha maji unayotaka ww kisha chemsha.
Baada kuchemka weka kwenye kikombe cha chai kisha kunywa asubuhi na usiku ndani kwa siku 3.
ONYO: mizizi ya mlonge ina nguvu sana kwenye upande wa nguvu za kiume coz ukizidisha unaweza kuua misuli ya uume, hii unaweza kupiga Show hata kwa lisaa na usitoe mazungu mpk ukaone kero
.............................................
Kuna mzee niliwahi kumuona anapika majani ya mlonge kama mboga za majani anaweka karanga baada ya kuuliza akasema inatibu Presha.

kwa ufupi Mlonge unatibu magonjwa mengi usishangae ukaambiwa unatibu mpaka NGOMA.

Kama kuna nimetumia lugha mbaya/ nimekosea sehemu yoyote mnisamehe sana.

Kwa wanaohitaji Mlonge mje inbobo.
Mnielekeze, kwenda pm ndo wapi apo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli mkuu mimi kuna ugonjwa uliwahi kunisumbua kama miezi mitano na nilitumia dawa za pharmacy mpaka nikachoka lakini mlonge longe aiseeee siku tano tu nishapona mpaka nikaona ni miujiza au kumbe kweli
Unaitwa mti wa miujiza
 
Aise, usipo tumia chakula kama dawa, basi utatumia dawa km chakula
Vipo Vyakula na matunda vya kukuepusha na magonjwa na kuuweka mwili fiti mkuu....Lakini wewe umekuja na tangazo la kuuza milonge kisa tu inaongeza nguvu za kiume hapo kwenye nguvu za kiume utawapiga sana "MAZWAZWA".
 
Vipo Vyakula na matunda vya kukuepusha na magonjwa na kuuweka mwili fiti mkuu....Lakini wewe umekuja na tangazo la kuuza milonge kisa tu inaongeza nguvu za kiume hapo kwenye nguvu za kiume utawapiga sana "MAZWAZWA".
Yani kwani wewe hujui maajabu ya mlonge jamani au ubishi wako tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom