Wamachinga wamefanya Dar kuwa mji wa hovyo kabisa

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,451
Reaction score
38,170
Wakuu huu uholela wa wafanyabiashra wanaojiita wamachinga unakera sana, kila kona ya jiji barabara zote wamejaa wao.

Tena ni bora wangekuwa hata na mabanda ya maana, humu barabarani umejaa uchafu tu..

Ukienda Mbagala wamejenga mabanda mpaka katikati ya barabara, na TANROADS wanawaangalia tu.

Wakuu hivi nyie mliowahi kutembea nchi za wenzetu je kuna uholela wa biashara na kujenga vibanda hovyo hovyo kama hapa dsm?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OLE WAKO!
WAGUSE UONE KITAKACHOKUFIKA!

Ukifika Mwanza no yaleyale!
 
Mtoa mada una roho mbaya. Kwahyo unataka machinga tusiwepo tule wapi au unahisi kuwa wote tuna mitaji ya kukodi fremu? Acheni zenu.
Nchi hii ni yetu sote na tuna uhuru wa kufanyia biashara popote pale Rais ameshatamka..
Wewe ni nani mpaka uone kero ambayo rais hakuiona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani basi ni Dar tuu...nadhani ni mikoa yote. Mwz tafrani pia barabara zebyewe nyembamba hata pa kukanyaga hamna ni wamepanga vitu njiani kama maduka tuu yale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitaka wakaishi wapi na wafanye kazi gani na wapi? Ulitaka Dar iwe ya watu gani? Acha ubaguzi ndugu mungu anakuona hawajapenda kuwa hapo walipo ila hali ya maisha imewafanya kuwa hapo.

Hakuna anayeweza badili maisha ila maisha ya mbadili mtu.

Wakuu huu uholela wa wafanyabiashra wanaojiita wamachinga unakera sana, kila kona ya jiji barabara zote wamejaa wao.

Tena ni bora wangekuwa hata na mabanda ya maana, humu barabarani umejaa uchafu tu..

Ukienda Mbagala wamejenga mabanda mpaka katikati ya barabara, na TANROADS wanawaangalia tu.

Wakuu hivi nyie mliowahi kutembea nchi za wenzetu je kuna uholela wa biashara na kujenga vibanda hovyo hovyo kama hapa dsm?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu huu uholela wa wafanyabiashra wanaojiita wamachinga unakera sana, kila kona ya jiji barabara zote wamejaa wao.

Tena ni bora wangekuwa hata na mabanda ya maana, humu barabarani umejaa uchafu tu..

Ukienda Mbagala wamejenga mabanda mpaka katikati ya barabara, na TANROADS wanawaangalia tu.

Wakuu hivi nyie mliowahi kutembea nchi za wenzetu je kuna uholela wa biashara na kujenga vibanda hovyo hovyo kama hapa dsm?

Sent using Jamii Forums mobile app
magufuli aliwapa ruhusa, ndio mana wapo, hapo awali wangekuwa wanafukuzana na mgambo wa jiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha watu wapate riziki...si ajabu na wewe ukawa machinga one day!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi tatizo ni riziki au kukosa mpangilio wa mambo yetu?

Hao 'Mabeberu' wanavyopanga kule kwao hivi hawapati rizki zao? mpaka tunashindana ili Mswahili kuonekana wa maana basi upande ndege uende huko na unajaza mapicha face book na instagram.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom