Recent content by bucca

  1. bucca

    Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Oil inasaidia maji yasiingie kwenye ngozi.
  2. bucca

    Kuku wa Mayan

    Kwa kuku 500, isipungue Tsh 2,350,000 kuku 500*2,700= 1,350,000 Chakula na dawa =1,000,000
  3. bucca

    Je vifaranga vyako vya kuku vyafa kwa ndui? njoo tutete

    Tiba ya dui ni kuwachoma chanjo wiki 6-7. isizidi hapo. Na ukiona wameanza kuugua wape Antbiotic kama Otc, typhoprime... na unaweza kusafisha kidonda kwa kutumia maji ya uvuguvugu yaliyo tiwa chumvi kiasi.
  4. bucca

    Nahitaji Gunia 100 ya alizeti

    Gunia 60 nipo Kongwa
  5. bucca

    Ratiba ya mashindano ya magari rally of Iringa

    Mleta Uzi mbona hautupi update...
  6. bucca

    Lowassa na Harakati za kupanda daladala kwenda Chanika na Tandale

    "Afadhali huyu mgonjwa LOWASSA ameondoka maana angetufia tukaingia gharama za mazishi Celina Kombani, R.I.P " Nasema hivi, LOWASSA ni mgonjwa na hawezi kumaliza hata wiki ikulu" Dr Didas Masaburi, R.I.P "LOWASSA ni mgonjwa na dhaifu, hafai kupewa dhamana ya kuongoza nchi, akipatikana rais...
  7. bucca

    Gharama za data, airtel, halotel, smart, tigo & voda

    Tigo wamezidiwa na wateja. Mtandao wake unasumbua sanaa.
  8. bucca

    Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

    Hujielewii wewe Matatizo yote tunayo yapata wewe unaona huyo j kafanya kitu. Unastahiri ukapimwe akili.
  9. bucca

    Serikali imetoa Picha rasmi ya Rais Dr. Magufuli

    Mpiga picha mzuri alikuwa ni Issa Michuzi.
  10. bucca

    Sababu 11 zilizofanya nipende wake za watu

    Achaa ukumaaaa wewe... Lowasa anahusikaje hapo...
  11. bucca

    Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    Hivi huyu dogo........
  12. bucca

    CHADEMA wapotozea ahadi ya Kuuza Gari!

    Chadema kwa miaka 5 Iringa imefanya kazi kubwa sanaaa.... Tenaa Mch Peter Msigwa kajitoa yeye mwenyewe kuanzia Barabara, Hosptal ya Rufaa kaibolesha. Ni tofauti ya ile ya mwaka 2010 kurudi nyuma. Usafi kuna Kuna magari ya kubeba taka kila kona tenaa ya kisasa. Na menginee mengii sanaaa...
Back
Top Bottom