Serikali imetoa Picha rasmi ya Rais Dr. Magufuli

wewe umepewa taarifa kuwa picha ya Mheshimiwa Rais imetoka,hujaambiwa useme ni nzuri au mbaya kwa kuwa wapo wenye kazi hiyo ya kuona ni nzuri au mbaya,hata basi ukiamua kukosoa jambo lisilokuhusu fanya hivyo kwa nidhamu kwa sababu hata mwenyezi mungu ametuelekeza kuheshimu mamlaka.Hayo maneno yako ya mwisho hayakuwa na ulazima.

mkuu potezea tu kwani sometimes huwa pengine tunachati hata na majini au misukule humu bila kujua. yeye anasema sura ya Rais wetu ni mbaya muulize ya Baba yake ni nzuri? na kama kweli ana jeuri mwambie atuwekee hapa tuone minyago ya Mwenge stendi hapa.
 
Nimekusoma kiongozi!
 
Ikulu patamu,mwali kanona sasa tunaweza kupiga picha nae
 
Nasikia hii ndio picha rasmi ya raisi wetu. Mimi naleta uchokozi tu. Sijaridhika nayo hii picha.

Sababu:
  • Shavu, paji na kidevu upande wa kulia kwake viko gizani.
  • Kidevu kushoto kwake pia ni gizani.
  • Shingo iko gizani.
Raisi wetu ni handsome sana. Kwa nini tunaficha haiba yake kwa kutumia giza.

Tumuoneshe raisi wetu in his full glory.

tmp_15717-2%2B%25282%2529.JPG-1466482866.jpeg
 
Mi sinaga mautaalam na mapichapicha ngoja Waje kina nani hii..
 
Nasikia hii ndio picha rasmi ya raisi wetu. Mimi naleta uchokozi tu. Sijaridhika nayo hii picha.

Sababu:
  • Shavu, paji na kidevu upande wa kulia kwake viko gizani.
  • Kidevu kushoto kwake pia ni gizani.
  • Shingo iko gizani.
Raisi wetu ni handsome sana. Kwa nini tunaficha haiba yake kwa kutumia giza.

Tumuoneshe raisi wetu in his full glory.

tmp_15717-2%2B%25282%2529.JPG-1466482866.jpeg
[/

Picha ina mapungufu mengine: background inatakiwa light blue bila kasoro hasa upande kulia, picha ya Rais lazima ionyeshe authority kwa hiyo features zake kama masikio ikiwezekana yaonekane yote, kusiwe na giza au dark shades. This is an oblique picture which is not supposed to be so. The President should be directly facing you. The color of the necktie is fair but does not spell strong authority. Better if the shirt was white
 
I agree with you 100%
 
Naunga mkono wajumbe wengine hapo juu. Picha hii ina mapungufu mno.
 
Basi mpiga picha ni wa kutumbua jipu tu hana maana
 
mshauri wake wa mavazi haoni color combination ya shati na tai kua haija kaa vizuri?
 
Sisi ma-Tanzania akili yetu ina shida sana, halafu unakuta hayo yaliyopiga hiyo picha yanajiita "professional photographer". Shenzy type kabisa! Eti maelezo nao mpaka wanazidiwa na layman kugundua kasoro za picha?
 
Mpiga picha mzuri alikuwa ni Issa Michuzi.
 
Michuzi yuko wapi? Namkubali kwa picha zake. Hii picha ya Rais,Dr Magufuli, siyo. Inaonekana ilipigwa chini ya mti,si studio.
 
Jamani mnapiga kelele mnadhani jpm kaenda ikulu kuuza sura?hapa kazi tu!kwani picha itainua uchumi wako au itaboresha uchumi wa nchi?nani asiyemjua mpaka atake kuangalia picha yake!hivyo sio vipaumbele
 
Mkuu, hii ndio picha itakayosambazwa dunia nzima. Balozi zetu zote duniani zitakuwa zinamuonesha mkulu wetu kwa taswira hii. Mataifa yote yatakayotaka kuonesha sura ya Tanzania yatatanguliza picha hii.

Bado unataka tusijali inaonekanaje?
 
Picha haina direct impact na kitu chochote.kama mbaya au nzuri haitabadili kitu ni mbwembwe tu
 
Nadhan wameileta ili tuijadili mapema kabla ya kuipitisha...
Masikio yaonekane vizur maana na hofu asije kuwa robotics bdae.
 
Back
Top Bottom