Mhe. Makonda mfungulie kesi Askofu Gwajima

Mhe. Makonda mfungulie kesi Askofu Gwajima

Masikini Daudiiiiiiiii!!!!!!! Daudi anawaona nyieeeeeeeeeee haya (Yaani hapo alipo anatamani Jumapili isingekuwepo kwenye hesabu za kalenda) kwa sababu kila jumapili kituuuu!!!!!! kituuuuuuu!!!!!!! hivi si vya machozi ni vya pilipili kabisaaaaaa
 
Thubutu! Hapo atakuwa anajishitaki mwenyewe! Si rahisi kumwandalia jukwaa mtuhumu wako ili aainishe vielelezo vyake dhidi yako!
Kumbuka mahakama INA mamlaka ya kumwamuru yeyote ikiwemo necta ili iwakilishe vielelezo atakavyovidai mdau yeyote mahakamani! Hapo ndipo necta itaamuliwa kuwasilisha picha ya Daudi iliyotumika kwenye usajili wa f4! Hapo ndipo watu watakapoweza kuona kama picha ya daudi ndiyo hiyo hiyo ya Bwana yule!
Lakini pia mahakama itaweza Kuwaita wazazi wa Daudi maana taarifa zao zipo katika kila SHULE aliyosoma Daudi! Kitakuwa kioja mahakamani kuona iwapo wazazi wa Daudi ndio wale wale wa bwana yule!
 
Siku zote Gwajima ni muongo na ndiyo maana anatumia nguvu za giza kupata misukule aliyonayo.Akijamba, utasikia misukule yake ikisema, hilo ni gesi takatifu...ahsante Baba mtakatifu Gwajima na dhambi zetu zimetoweka kwa kujambiwa na wewe.
Sijibizani na wapumbavu, upeo wako wa kujenga hoja umekaa kitoto sana
 
Angekua kachafuliwa barabara ya mawinguni ingewaka moto, si mchana jioni asubuhi ni kushinda huko
 
 

Attachments

  • IMG-20170303-WA0005.jpg
    IMG-20170303-WA0005.jpg
    36.6 KB · Views: 37
Mheshimiwa Makonda pole sana kwa jina lako kuendelea kuchafuliwa pasipo kuchukua hatua za kisheria. Kipindi cha nyuma ulishawahi kuagiza
Mhe. Kubenea akamatwe na kufikishwa Mahakamani kutokana na kutumia lugha ya matusi ambapo alipatikana na hatia na kuhukumiwa kutumikia kifungo cha nje.

Vivyo hivyo nakushauri ukafungue kesi dhidi ya Gwajima ili iwe fundisho kwa watu wengine wanaotoa taarifa za uongo kwa jamii kwa lengo la kukushushia hadhi yako. Kuendelea kukaa kimya kutamaanisha kuwa yalioongelewa ni ya kweli.
Mie nadhani ungemshauri Makonda awekeke vyeti vyake hadharani.
 
Masikini Daudiiiiiiiii!!!!!!! Daudi anawaona nyieeeeeeeeeee haya (Yaani hapo alipo anatamani Jumapili isingekuwepo kwenye hesabu za kalenda) kwa sababu kila jumapili kituuuu!!!!!! kituuuuuuu!!!!!!! hivi si vya machozi ni vya pilipili kabisaaaaaa
 
Wafunguliane kesi wote wawili kwa pamoja na shtaka liwe moja na hakimu awe mmoja na tarehe iwe moja kila mtu akamwage nyongo yake, anayetakiwa kuja na vyeti original aje navyo
 
Anaanza wapi kwa mfano wakati ni kweli kutumia cheti cha mtu mwingine!! Kama mtoa mada unafikiri hii story ni ya kutunga think again!! Hivi ingekuwa ni uongo unadhani by now gwajima angekuwa nje yaani Tena akimpeleka mahakamani atakuwa ameturahisishia kazi Maana itabidi aprove tunadanganya na hawezi Maana ni kweli!! [HASHTAG]#hapavyetitu[/HASHTAG]
 
vijana wa bashite naona na nyie sindano zinawaingia vizuri. walipokuwa wanatajwa kina mbowe, gwajima mlikuwa mnafurahi sasa daudi kashikwa pabaya ndo nanyi mnaumia. tunataka vyeti original
 
Yaliyomo yamo......................pale mwanasiasa na mtumishi wa mungu wanavoshikana
 
Back
Top Bottom