Mama Obama
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 1,620
- 1,088
Tafauti ya Lowassa na Magufuli ni kubwa mno.
Lowassa is apolitician na mtu mwenyehekima na mvumilivu
Magufuli si mwana siasa na hana wisdom hana uvumilivu hana busara hana hekima.
Katika maraisi walopita walokuwa ni viongozi hassa
Nyerere
Mwinyi
Kikwete
basi na lowassa angekuwa kwenye kundi hilo
kwa upande wa ZNZ
Karume
Mwinyi
basi na Maalim Seif
Usimuchanganye Nyerere na Kikwete, Mwinyi, ama Lowassa hii ni dharau kubwa kwa Baba wa taifa ni Kama kuchanganya ndimu na maziwa. Rais Magufuli ni mufano wa Baba wa taifa, hana ubinafisi wengine wote walikuwa ni wapenda raha kutumia Mali ya wengi kwa manufaa Yao wenyewe.