Recent content by Bronzo

  1. Bronzo

    Serengeti fiesta 2014 special thread

    Thnk diamond atarud tena aftr davido.....kwenye ile my namba one remix....si rahisi Boss Ruge kukubali kirahisi
  2. Bronzo

    Serengeti fiesta 2014 special thread

    Lord eyes aka izz nako......back kwenye game. #team weusi ever
  3. Bronzo

    Serengeti fiesta 2014 special thread

    Weusiiiiiiiii
  4. Bronzo

    Unataka ipi, kizamani au kisasa?

    Mfumo wa zamani ndio mzuri zaidi ila uwe improved kidogo cz of mazingra yana change. B'se ngumu sana kuchange nature, and iman ya dini + mfumo wa maisha ya miaka mingi siku zote mwanaume ndio last say. Then hawa ndugu zetu jinsia KE, hata iweje lazma wapate mtu wa kuwaongoza bila hvyo lazma...
  5. Bronzo

    Series za kijasusi

    For now series hot, check blacklist ipo seasonal 1 epsd 13, hostage pia poa sana
  6. Bronzo

    Kuna mistari ya miraba mingapi hapo?

    Kuna mstari ya mraba 42
  7. Bronzo

    Mawazo yako yatasaidia

    Hakuna swala gumu in Love kama advce ya dini, kwn that hakuna atakae kuadvce wthout sayng we ndio mwenye maamuz. Then hapo kuna v2 vwili mapenz and iman ya dini MASWALI.. 1. Unataka kuchange dini coz ya mwanamke unampenda, huwez kumkosa and unataka kumuoa? 2. Unataka kuchange dini kwa hofu ya...
  8. Bronzo

    Mliosoma tuition za mchikichini,toa ushaidi humu

    Sure kaka, babu wa turiani alikua vzuri, den lengo lilikua kufundsha and nt kumake profit. Do yo remember dis " wakule wanasikia, wa huku wanasikia, sijui ww hapa" tanx babu always kajenga msing wangu wa Accounts vzuri, am proud 2day
  9. Bronzo

    Kama uko kwenye ndoa na ukaumizwa na mwenzi wako kwa kuku cheat

    Mean win win situation, akimwaga mboga unamwaga ugali. Real anothr century, agreemnt kupenda, akileta maumvu he /she breach a contract
  10. Bronzo

    Nina PhD natafuta kazi

    PHD serious, unafind kazi ?????? You mean ulienda kustdy Phd wthout direction, hivi hata ukipewa kazi utaweza kweli, Naogopa juu ya hilo. Ok, my advice kwa level yako nenda kafanya volunteer, internship kwenye UN organzations kule watakupokea sema ukubali kujitoa. Sema umetuhaibsha watanzania.
  11. Bronzo

    Je hii ni dawa au ndo ujinga wenyewe?

    Wamefail kufikiri zaidi, hao wamekimbia tatzo na sikusolve tatzo. Then wote hawakua na majukumu kwenye maisha that y wakafanya UJINGA. Ndio mapenzi ila sio kiasi hiki
  12. Bronzo

    Ninahamu na mwanamke lakini si mke wangu

    Acha wenge aisee, huyo mkeo kaeni chini mjue tatizo nini, b'se ni haki yake anatakiwa kupewa. Point ya kutoka nje ww cause hauna hamu nae, what if other side atoke nje cause haumpi haki yaki. Think twice bro, unacreate booM. Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Back
Top Bottom