Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
- Thread starter
- #21
acheni kujidanganya Sk zote mwanamke unatakiwa upokee maelekezo na sio kutoa maelekezo....... Hata wanyama kama ng'ombe na nyani wanalitambua hlo. Ng'ombe anamuogopa mtoto wa kiume hata mwenye miaka miwili laki sio mwanamke mtu mzima.......
Kwanini unadhani ni sawa hali kufanyika?