Je hii ni dawa au ndo ujinga wenyewe?

Je hii ni dawa au ndo ujinga wenyewe?

This is true love waliona hawawezi ishi without each other but wameshindwa kupigania what they have shetani akaingiza yake wakaishia hapo kwa kuona hilo ndyo suluhisho...
unaposema true love doesnt exist only in movies it might be true just ask yourself do you have true love if not huwezi amini if its real exist....am out
 
Huo ujinga yaani walishindwa kutoroka (ku elope)? sasa nani anafaidi hapo?
 
Kaka zako ndio wameleeeeewa kwelikweli, kila siku wao ni kujiua kwa risasi na kuchoma nyumba.
Mi nilikuwa na bwana wa kichagga, mapenzi hajui,bahili na ana wivu ile mbaya, nikamwambia babu ehh, nimepata bwana jambazi, jipendeke akuvunjie duka lako.
jiandae kufa sasa wewe kabla jamabazi ajamuwahii ...... ila kiukweli kwa ubahili awajambo loh!!!!!!!!!!!! ukijua pa kuwashika unazichukua zote
 
Mapenzi ya kweli na hayataisha wataendelea kupendana hadi huko at the hell
 
922775_476414219109706_315859818_n.jpg


Picha ya Msichana na Mvulana waliojinyonga Kwa Pamoja Juu ya Mti Baada ya Kukataliwa na Wazazi wao Wasioane Kisa ni Kutoelewana kwa Familia Hizo.....JEEEEE ____????
A)NDIO DAWA
B)UJINGA
C)NDIO MAPENZI YA KWELI

Hakuna jibu sahihi kwa sababu;

Ndoa ni makubaliano ya kuishi pamoja kati ya mume na mke. Sioni nafasi ya wazazi kwenye hili. Kuwahusisha wazazi ni kuonesha heshima na ushirikiano wao katika jambo hili; iwapo wazazi watakuwa against na matakwa ya wanaohitaji kuwa wanandoa; ni kwa nini wasipuuzwe?
 
Wamefail kufikiri zaidi, hao wamekimbia tatzo na sikusolve tatzo. Then wote hawakua na majukumu kwenye maisha that y wakafanya UJINGA. Ndio mapenzi ila sio kiasi hiki
 
Si mnaoana tu mpaka mjinyonge familia kama hazielewani nyie mnaelewana basi mnawaachaa
Tena mapenzi ya kuzuiwa hua matamu balaaaa
 
Back
Top Bottom