Mawazo yako yatasaidia

Mawazo yako yatasaidia

Mi ni mwanaume......ni mkristo yaani lutheran. Nimetokea kumpenda binti mmoja wa dhehebu nyingine ambayo ni jehovas witness, siwezi kumuoa hadi tuwe dini moja na yeye hawezi hama maana anaamini dini yake ndo wanamjua Mungu na ni ya ukweli. Mm nimempenda kupitiliza yaani nimeamua kuhama dini ili tu niwe nae, ttzo wazazi wangu hasa baba yangu mzazi, mm ndo ndugu yake na nitegemeo lake na yeye ni mdini kweli! Hataweza kunikubalia nihame dhehebu. Na mm nampenda kweli baba yangu

Naombeni ushauri wenu ndugu zanguni

Unajua unachotaka kufanya au unakurupuka tu???? inaonekana hujajua hata misingi ya hiyo dini unakotaka kuhamia. wewe unawaza mapenzi tu huna lolote unalowaza zaidi ya kumpata huyo binti! Take your time think meeen! hiyo dini inaweza kukuondolea hamu ya huyo mpennzi ichunguze kabla
 
Ndugu pole sana kwa mtihani, hakika ni mtihani mgumu kwakua unagusa maswala ya imani, imani haionekani kwa macho wala kushikika Waebrania 11:1. Kwa mtu aliyeiva kiimani yupo tayari hata kufa ili tu atetee imani yake hata kama si ya kweli.

Kwakua huyo dada kagoma kubadili dini ni hakika ana imani kuliko wewe ndiyo maana upo tayari kubadili dini kwa sababu yake. Ukweli ni kwamba ni watu wachache sana waliobadili dini kwa sababu ya wachumba zao huendelea nayo, wengi wao baada ya ndoa huishia kurudia dini zao za awali ama kuacha kuabudu kabisa.

Nimeona ume comment hapo juu kuwa upendo wenu haujawahi kupungua bali unazidi, hii ni habari nzuri japo mapenzi ya uchumba ni tofauti ya yale ya kwenye ndoa, inawezekana bado hujamjua vizuri ila baada ya kuoana ndipo utamjua vizuri, unaweza hata ukajuta kwanini ulibadili dini kwa sababu yake, ukikuta si ndivyo ulivyomtegemea.

Nahitimisha kwa kukushauri kwamba sikiliza moyo wako, kama unampenda na anapendeka, na unahisi kubadili dini kwako si tatizo basi fanya hivyo ila chukua tahadhari kuwa huyo ni binadamu kama binadamu wengine na huwezi soma mawazo yake, anaweza badilika kabla ya ndoa ama hata baada ya ndoa. Hivyo ufanyapo maamuzi fanya ukichukua tahadhari ya kukabiliana na lolote litakalokuja liwe baya ama zuri.

Nakutakia maamuzi mema rafiki.
 
Kuhusu hio dini.....najua tunatumia Bible moja. Na nimechunguza tayari sio ngumu sana kwa mtu mwenye maadili mema. Nimejitahidi ku sociolize na wazee wakongwe wa hio dhehebu. Ni kwamba tumetofautiana kidogo tu. Shida yangu ni kwamba! Wazazi na ndugu.
 
Unatuchanganya bwana Quanga...km unampenda sn and u can do anything ili uwe naye unatuomba tukushauri nin sasa?if problem is Dady and u can do anything ili uwe naye then ignore msimamo wa dady au mawazo ya MTU yeyote ilimradi umwoe shida iko WAP hapo rafiki???ndoa ni maisha yako na yey with exclussion to any external forces so maamuz ni yako
 
Siwazi mapenzi tu! Yeye anaakili ya maisha na amenisaidia tatua matatizo mbali mbali. Nikichanganya akili yangu na yake najua tutafika mbali sana
 
kama anakupenda atakufuata..hajajua umuhimu wako bado.kama vipi mkifunga ndoa c ataabudu kwake tuu.
 
Kuhusu hio dini.....najua tunatumia Bible moja. Na nimechunguza tayari sio ngumu sana kwa mtu mwenye maadili mema. Nimejitahidi ku sociolize na wazee wakongwe wa hio dhehebu. Ni kwamba tumetofautiana kidogo tu. Shida yangu ni kwamba! Wazazi na ndugu.

unajua kwa nini wazazi wako wanakataa wakati ni dini ya kikiristo?? hiyo dini sio unavyofikiri! Hata shetani anaijua na kutumia biblia! CHUNGUZA
 
Unatuchanganya bwana Quanga...km unampenda sn and u can do anything ili uwe naye unatuomba tukushauri nin sasa?if problem is Dady and u can do anything ili uwe naye then ignore msimamo wa dady au mawazo ya MTU yeyote ilimradi umwoe shida iko WAP hapo rafiki???ndoa ni maisha yako na yey with exclussion to any external forces so maamuz ni yako

Nilikua nataka nijue mawazo yenu juu ya hili
 
Mi ni mwanaume......ni mkristo yaani lutheran. Nimetokea kumpenda binti mmoja wa dhehebu nyingine ambayo ni jehovas witness, siwezi kumuoa hadi tuwe dini moja na yeye hawezi hama maana anaamini dini yake ndo wanamjua Mungu na ni ya ukweli. Mm nimempenda kupitiliza yaani nimeamua kuhama dini ili tu niwe nae, ttzo wazazi wangu hasa baba yangu mzazi, mm ndo ndugu yake na nitegemeo lake na yeye ni mdini kweli! Hataweza kunikubalia nihame dhehebu. Na mm nampenda kweli baba yangu

Naombeni ushauri wenu ndugu zanguni
Ninavyowajua hawa jamaa wa Jehova Witness ni wenye msimamo mkali sana kwenye imani/dhehebu lao, kwa hiyo itabidi wewe ndie ubadili dhehebu.
 
Ndugu pole sana kwa mtihani, hakika ni mtihani mgumu kwakua unagusa maswala ya imani, imani haionekani kwa macho wala kushikika Waebrania 11:1. Kwa mtu aliyeiva kiimani yupo tayari hata kufa ili tu atetee imani yake hata kama si ya kweli.

Kwakua huyo dada kagoma kubadili dini ni hakika ana imani kuliko wewe ndiyo maana upo tayari kubadili dini kwa sababu yake. Ukweli ni kwamba ni watu wachache sana waliobadili dini kwa sababu ya wachumba zao huendelea nayo, wengi wao baada ya ndoa huishia kurudia dini zao za awali ama kuacha kuabudu kabisa.

Nimeona ume comment hapo juu kuwa upendo wenu haujawahi kupungua bali unazidi, hii ni habari nzuri japo mapenzi ya uchumba ni tofauti ya yale ya kwenye ndoa, inawezekana bado hujamjua vizuri ila baada ya kuoana ndipo utamjua vizuri, unaweza hata ukajuta kwanini ulibadili dini kwa sababu yake, ukikuta si ndivyo ulivyomtegemea.

Nahitimisha kwa kukushauri kwamba sikiliza moyo wako, kama unampenda na anapendeka, na unahisi kubadili dini kwako si tatizo basi fanya hivyo ila chukua tahadhari kuwa huyo ni binadamu kama binadamu wengine na huwezi soma mawazo yake, anaweza badilika kabla ya ndoa ama hata baada ya ndoa. Hivyo ufanyapo maamuzi fanya ukichukua tahadhari ya kukabiliana na lolote litakalokuja liwe baya ama zuri.

Nakutakia maamuzi mema rafiki.

Kuhusu kumjua? Nnamjua vizuri sana lkn kama haitatosha nnaweza fanya kitu kimoja. Nimebahatika kupata mama msomi na ni psychologyst anaweza kukaa nae na kunisaidia kumjua zaidi
 
Mi ni mwanaume......ni mkristo yaani lutheran. Nimetokea kumpenda binti mmoja wa dhehebu nyingine ambayo ni jehovas witness, siwezi kumuoa hadi tuwe dini moja na yeye hawezi hama maana anaamini dini yake ndo wanamjua Mungu na ni ya ukweli. Mm nimempenda kupitiliza yaani nimeamua kuhama dini ili tu niwe nae, ttzo wazazi wangu hasa baba yangu mzazi, mm ndo ndugu yake na nitegemeo lake na yeye ni mdini kweli! Hataweza kunikubalia nihame dhehebu. Na mm nampenda kweli baba yangu

Naombeni ushauri wenu ndugu zanguni

Hakuna swala gumu in Love kama advce ya dini, kwn that hakuna atakae kuadvce wthout sayng we ndio mwenye maamuz. Then hapo kuna v2 vwili mapenz and iman ya dini

MASWALI..
1. Unataka kuchange dini coz ya mwanamke unampenda, huwez kumkosa and unataka kumuoa?

2. Unataka kuchange dini kwa hofu ya mungu, and kujua usahihi uko wapi ili umuhamuda mungu in postve way?

NOTE:
Dini kama culture, m2 anakua nayo kujfunza na kujua ndio iman inapojaa, sasa ww iman ya ukubwan kwenye dini za wa2, kisa mapenz takea kaka.

Then mapenz yana mwsho, cz hamuwez fka 200years, kuna kufa, kuachana, what abt Mungu ambae ataishi milele, thnk twce.
 
Back
Top Bottom