Kuna mistari ya miraba mingapi hapo?

Kuna mistari ya miraba mingapi hapo?

523152_10151225981441955_2044620507_n.jpg



Everyone is talking about this right now. The best answer we have is 24. How many squares do you see?

27


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
523152_10151225981441955_2044620507_n.jpg



Everyone is talking about this right now. The best answer we have is 24. How many squares do you see?

Tuanze hivi:
I. Miraba (SQUARES) midogo midogo inayotengenezwa na umbile kubwa (pasipo miraba ile midogo midogo ambayo imelikata umbile kubwa kwa ndani):
(i) Miraba midogo kabisa ni 16
(ii) Vyumba vinne iko 18 (9 toka juu kushoto kwenda kulia (or vice versa), na 9 kutoka chini kushoto kwenda kulia (or vice versa)
(iii) Vyuba 9 iko 4 (2 toka juu kushoto kwenda kulia (or vice versa), na 2 kutoka chini kwenda kulia (or vice versa)
(iv) Na hatimaye, kubwa lao liko 1

II. Miraba midogo katikati ya umbile kubwa
(v) Midogo kabisa iko 8
(iv) Mikubwa iko 2

Jumla ya miraba kwenye umbile hili iko 49. Hata hivyo, misitatili ni mingi zaidi ya hiyo namba
 
Mkuu umedadavua vizuri,jibu lako linashawishi!ngoja tumsubiri MziziMkavu aje na jibu lake!
So far nimeona 36, huenda zikafika 40 ngoja niendelee kudadavua huenda nimemiss 4.

I did found the 4 squares missing, made up of 3 by 3 boxes
 
Last edited by a moderator:
Ipo miraba 21 ya kati 8 midogo midogo 8 mraba mkubwa wa nnje 1 na ile inayokusanya midogo na na kati ambayo imeacha mraba mmoja mmoja kushoto na kulia ipo 4 na kutengeneza jumla 21...
 
Back
Top Bottom