Hiyo njia ya kwanza uliompa sio rahisi Bora atafute njia nyingine , Kila kitu UNHCR imesha weka kwenye data base kwa mkimbizi mpya kupewa hifadhi ya kwenda nchi ya Tatu (resentlement) ni kazi kweli kweli anaweza kupoteza ma millioni za pesa na aka kosa kupata resentlement
Tatizo sio hivo mnatakiwa kuyapongeza mazuri ambayo serikali ilifanya na kutoa ushauri kwa mapungufu ya serikali. Sio kutukana tu na kupinga kuwa serikali haijafanya kitu.
Umri :32
Elimu: diploma
Kazi:Sina
Uraia :DR.congo
Jinsia: m
Dini : mkristo
Mlengwa
Umri: 16-25
Elimu: yeyote Ile
Dini: mkristo
Asiwe single mother.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa naye mwaka 2018 lakini ameenda USA huko ,hakika napata shida kwa Hawa grade D. Umenikumbusha mbali kwenye huu Uzi wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie vizuri hao wakuelewe ,huyo kocha wa Spain alikuwa anaumwa kansa ya damu . Ugonjwa wenyewe Ni mafua tu unazidiwa nguvu na maleria
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau nadaiwa na m-pawa Tsh 65,000. Kila mara wananitumia sms za vitisho na kuniambia kuniambia kuwa watanichukulia hatua za kisheria.
Cha kushangaza laini yenyewe imefungiwa sababu sina namba ya NIDA.
Je kuna njia nyingine ya kuweza kurudisha huu mkopo wao?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.