shakur kimboka
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 275
- 364
Wewe jamaa nishapata wasiwasi na elimu yako hiyo ya ukimbizi itakuwa uliungaunga sana kwa maana uwezo wako wa kujadiliMkuu wewe muongo sana
Mkuu acha kupotosha watu
Mkuu nilikuambia wewe muongo
Mkuu tabia ya kufanganya watu sio nzuri
Mkuu malengo yako toka post ya kwanza nikikuambia
Nasisitiza acha kudanganya watu
Huu uongo wako sio mzuri,kuna seheme mbili umeongea uongo.
topic ambayo ipo kwenye field yako ni finyu mno, wewe umesomea kitu ambacho hauna passion nacho
Utakuwa ni design flani hivi ya mtoto mmoja wa kishua maisha laini mboga nane, umechukuliwa ukawekwa kwenye pipa ukaenda mamtoni ukasoma ulichosoma ila bado huna exposure ya kutosha na ulichokisoma
Umeweka certificate gani sijui za Marekani ukasahau jamaa hayupo Marekani bali yupo Canada, then ukataka jamaa akutolee hiyo certificate na akati anakuambia yupo Canada afu ndio katika interview yake ya kwanza
We ushawahi kuona mtu anapewa cheti na hajamaliza shule? (hiyo logic tu) cheti unapewa kama stakabali badala ya kufuzu/kuhitimu mafunzo fulani,
Hiyo US refugee admissions program haitambuliki kimataifa inatolewa na Marekani pekee wao Canada wana system yao pia tofauti kabisa, USRAP unatolewa na shirika lisilo ya kiserikali huko Marekani ila hakina application yoyote Canada na nchi nyingine
We jamaa itakuwa kweli umesomea hili swala na upo Marekani kweli ila una kauzembe flani ndio kinacho kufelisha,
Link1:
Sent using Jamii Forums mobile app


wake.