Nipo uliza maswali kuhusu website nitakujibu 100%

Psiteshio72

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
633
500
Watu wengi hawajui kusolve baadhi ya matatizo baada ya kuunda website.

Pili: Watu hawajui ni nani atakayewafanyia kazi nzuri ya website.

Sasa katika Uzi huu nitajibu maswali yote na changamoto mbalimbali kwa wamiliki/waundaji/wanaohitaji website.

Niandikie sasa. Kwa msaada zaidi piga 0753093869.

Screenshot_20200207-103456.jpg


Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 

majoto

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
2,035
2,000
Website ni nini? unaitumiaje? kuna hasara/faida gani za kuwa na website?
 

leloic

JF-Expert Member
Apr 6, 2013
584
1,000
Naitaji kujua ni namna gani wafungua website zakuhabarisha ambazo hazina matangazo (ad-on) wanapata faida kwenye website zao
 

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,708
2,000
Huyu jamaa hayupo serious!! Mimi nataka nifungue website ya shamba langu inawezekana?
 

Psiteshio72

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
633
500
Website ni nini? unaitumiaje? kuna hasara/faida gani za kuwa na website?
Website/tovuti ni muunganiko wa jina(domain) URL(anuani) na extension (kikoa) ambayo huhifaddi data mbalimbali i.e www.Jamiiforums.com

Kazi
Kutoa taarifa kwa umma
Kuuza vitu mbalimbali kama Simu nk

Faida
Kupata pesa,mfano baada ya kuuza simu ukiwa na online store kama Amazon/Jumia

Kupata pesa kupitia matangazo mbalimbali kama AdSense

Hasara
Hasara zake ni kama kushtakiwa kwa makosa ya jinai ya kimtandao

Karibu sana kwa maswali zaidi


Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 

Psiteshio72

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
633
500
Nini tofauti Kati ya blog na website.
Blog ni website lakini website sio blog!

Blog kazi yake kubwa ni kubeba nakala mbalimbali, Habari mbalimbali, kuhifadhi habari ndio lengo la blog kuanzishwa kwake.

Blog faida
Ni bure unaweza ifungua hapa blogger.com
Haihitaji utaalamu kuunda.
Unaweza endeshwa na mtu mmoja.

Website
Kila kitu kimojakimoja kinalipiwa,kwasababu hapa unamiliki jina lako mfano patiee.com na sio patiee.blogspot.com

Website ina uwezo wa kuhifadhi data nyiiingi zaidi/pasipo kikomo ingali blog haiwezi.

Website unaweza kuibadili utakavyo,iwe forum,online store,lms nk ingali blog haiwezi

Kwanini blog haiwezi? Kwasababu ni free na kama ni free ni limited, limited kwenye nini?

Bandwidth limited
No SSL (security) na mambo mengine mengi

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 

Psiteshio72

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
633
500
Naitaji kujua ni namna gani wafungua website zakuhabarisha ambazo hazina matangazo (ad-on) wanapata faida kwenye website zao
Matangazo yapo ya AdSense ya (Google)

Pia yapo ya mezan kama Vodacom wanaweza kukupa matangazo, pia website isipokuwa na matangazo unaweza kukulipa kwa njia nyingine Nyiiingi kama kuwa publisher wa brave browser nk

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 

Psiteshio72

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
633
500
Ninataka kuwa na website nitafanya je ili niwe nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Website kabla ya kuwa nayo uwe na lengo

Itahusu nini?

Utaiendeshaje?

Sasa website ni Gharama sio bure kama blog

Gharama
Hosting
Domain
Extension
Designing

(Kama ni web nzito kama Amazon/jf kuna plugins+themes za kununua pia)

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom