Ipi ni App yako bora ya kutazama mpira

Nmetumia app nyingi sana za iptv kweny cm ila Dstv ni mwisho wa matatizo kwanza ni full HD harafu haili mb kabisaa yaani kuna option za kuchagua quality utakayo kwa saa unatumia mb210 tu na kwa mechi nzima ya dakika 90 unatumia mb300 tu ni tofaut ya app zingine kwa kwli unakuta mechi moja ya dakika 90 unatumia zaid ya mb 500 mpak gb moja


Nmetumia mobdro, fefatv, startimes, azamTv max, livenet, na zingine nyingi kama mnavoona hap chini kweny picha ila Dstv ndo chagua langu kwa mimi maskini pia yenye ina option ya kuwaunga watu wengine watatu mkatumia app ya Dstv kweny cm kwa kutumia account yako na mkaona chanel vizuri kabisaa kwa iyo kama huna dstv usjali unaweza Kuungwa kwa kutumia account ya mtu mwingine ukihitaji njoo nikuunge kweny account yangu ina chanel zaidi ya 120 ni raha tupu kwa malipo ya elf10 kumbuka hakuna malipo ya kila mwezi ukilipa mara moja nikakuunga unakura burudani mwanzo mwisho na nisha unga zaid ya watu 3 ukihitaji nichek kwa 0756 695846
Screenshot_20200229-125503_One%20UI%20Home.jpeg
PicsArt_02-29-12.57.19.jpeg
Screenshot_20200218-163053_DStv%20Now.jpeg
Screenshot_20200218-163046_DStv%20Now.jpeg
PicsArt_02-18-04.42.15.jpeg
PicsArt_02-18-04.41.15.jpeg
PicsArt_02-18-04.37.42.jpeg
PicsArt_02-18-04.36.35.jpeg
 
Nmetumia app nyingi sana za iptv kweny cm ila Dstv ni mwisho wa matatizo kwanza ni full HD harafu haili mb kabisaa yaani kuna option za kuchagua quality utakayo kwa saa unatumia mb210 tu na kwa mechi nzima ya dakika 90 unatumia mb300 tu ni tofaut ya app zingine kwa kwli unakuta mechi moja ya dakika 90 unatumia zaid ya mb 500 mpak gb moja


Nmetumia mobdro, fefatv, startimes, azamTv max, livenet, na zingine nyingi kama mnavoona hap chini kweny picha ila Dstv ndo chagua langu kwa mimi maskini pia yenye ina option ya kuwaunga watu wengine watatu mkatumia app ya Dstv kweny cm kwa kutumia account yako na mkaona chanel vizuri kabisaa kwa iyo kama huna dstv usjali unaweza Kuungwa kwa kutumia account ya mtu mwingine ukihitaji njoo nikuunge kweny account yangu ina chanel zaidi ya 120 ni raha tupu kwa malipo ya elf10 kumbuka hakuna malipo ya kila mwezi ukilipa mara moja nikakuunga unakura burudani mwanzo mwisho na nisha unga zaid ya watu 3 ukihitaji nichek kwa 0756 695846 View attachment 1372419View attachment 1372422View attachment 1372423View attachment 1372424View attachment 1372425View attachment 1372426View attachment 1372427View attachment 1372428
Shukran kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa iyo kama huna dstv usjali unaweza Kuungwa kwa kutumia account ya mtu mwingine ukihitaji njoo nikuunge kweny account yangu ina chanel zaidi ya 120 ni raha tupu kwa malipo ya elf10 kumbuka hakuna malipo ya kila mwezi ukilipa mara moja nikakuunga unakura burudani mwanzo mwisho na nisha unga zaid ya watu 3 ukihitaji nichek kwa 0756 695846
Hizo nafasi bado zipo kwa muhitaji mwingine?
 
Back
Top Bottom