Recent content by boss80

  1. boss80

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    By Dr Alexander Makuliland Thomas Steven
  2. boss80

    Wote wamependeza lakini mtoto wa Kagame kanikosha

    Sasa nimegundua ugomvi wa JK na Kagame umetokana na nini maana wetu akitazama hapo haachi kutaka aiseee. Yaani cku zote najiuliza kwani ugomvi ni wa issue ya M23 kweli??? Kumbe visingizio tu, nahisi mjomba aliomba mzigo hapo aisee.
  3. boss80

    TISS wataita watu lini kwaajili ya mafunzo yaani depo?

    Dah yaani tumefikia hatua hii. Tanzania ya sasa sio kama ya zamani.
  4. boss80

    Hawana pa kukimbilia!

    Wanamkimbia Kinana. Ole wao awakamate watajuta kumfahamu
  5. boss80

    Video Clip: Alichokisema Mhe. Joshua Nassari huko Kigoma

    Waandishi wa habari nadhani wanaandika habari kinafiki na kishabiki zaidi, nimemsikiliza Nassari kwa makini sana sikuona ni wapi kamfagilia Zitto kwa swala hili la urais, nadhani Mwananchi wajitazame vizuri wanapoandika na sio kuweka tafsiri zisizo na maana.
  6. boss80

    Naomba Ushauri:Nimeitwa kwenye Usaili secretarieti ya Ajira

    Sina la kusema sana maana naona maoni ya wadau ni muhimu sana, hata hivyo ukiambiwa mengi sana mwishowe utasahau. Hongera sana, walisema mnafanyia wapi interview?
  7. boss80

    enzi hizo radio tanzania dar....!

    Jacob Tesha ( Huyu ndo alisoma taarifa ya habari ya saa mbili usiku siku alipotangaza kifo cha raisi Melkior Ndandaye wa Burundi mwezi October mwaka sikumbuki) Julius Nyaisanga ( Mzee wa kipindi cha endelea na BP ) Chisunga Stephene ( Akiripoti toka Kigoma ) Mzee wa " Mambo hayo" akiripoti...
  8. boss80

    "There's always that doubt"

    A man is talking to his best friend about married life. "You know," he says, "I really trust my wife, and I think she has always been faithful to me. But there's always that doubt." His friend says, "Yeah, I know what you mean." A couple of weeks later the man has to go out of town on...
  9. boss80

    Hongera Jerry Muro. Sasa tuambie hili!

    Kwanza nikupongeze Jerry Muro kwa kushinda kesi yako dhidi ya Jamhuri, na baadae kujipatia tuzo ya ubora wa kazi zako na kile kilichoitwa ujasiri wako katika kufichua maovu yaliyopo ndani ya jamii. Sasa baada ya habari hizi njema, ni wakati muafaka sasa kuueleza umma wa watanzania matumizi ya...
  10. boss80

    Bush na JK katika picha

    Kuna mtu aliwahikusema kusema kuwa huyu jamaa ana kichwa cha nazi, ni sahihi kabisa. Dharau za namna hii ndo Nyerere alizikataa kama cjasahu aliwahi kusalimia Malkia wa UK kwa kutumia kifimbo chake baada ya Malkia kumsalimia akiwa kava gloves. Huyu kweli hamnazo kABISAAAAAAA.
  11. boss80

    Mzee David Wakati Katutoka Leo

    RIP David, nakukumbuka sana enzi za RADIO TANZANIA.
  12. boss80

    Zawadi gani nzuri kwa mwenzi wako

    @DR jamani huo udenda umepita wapi wakati mdomo wako umeweka plaster za kutosha hivyo, usikute na mikono imefungwa kabisa sasa geen akitokea kaka huna la kufanya, itabidi bujibuji apite hapo kwa bahati mbaya aone unvyombwela kwa kufurukuta, hapo ndo geen atapoana kilio na kusaga meno.
  13. boss80

    Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

    ELBARIKI MUHINDA ha ha ha ha ha ha nimekukamata
  14. boss80

    Dizaini mpya ya hijabu!

    Kati ya watu ambao real from the deepest point of my heart nawa adimire na natamani kuwaona basi PRETA ni miongoni, sijui natkupataje nikuone ana kwa ana.
  15. boss80

    Piiiiiii!!!! Matangazo ya ajira feki

    Mdau umeongea suala la msingi sana maana nakubaliana na wewe moja kwa moja kuwa matangazo ya kazi yaliyomengi ni feki na nadhani wahusika wanakuwa na nia nyingine ya kujinufaisha ama kiuchumi au kiumaarufu. Jamani tuwe wakweli katika hili.
Back
Top Bottom