Naomba Ushauri:Nimeitwa kwenye Usaili secretarieti ya Ajira

jambo1

JF-Expert Member
Jul 5, 2009
241
29
Hello wadau wa JF..!
Bila kutarajia kama inawezekana leo nimepigiwa simu toka secretarieti ya ajira kuwa nimeitwa kwenye usaili wiki ijayoi. Kwa mwenye uzoefu na jamaa hawa au usaili kwa ujumla naomba ushauri ili nipate mwongozo wa kujiandaa kukabiliana nao.
Nawashukuru wote kwa ushirikiano na msaada wenu.
 
Kwanza umeitwa kwa ajili ya interview ya post gani mkuu?!
 
Haya bana mkuu kumbuka kusali pia kama ulishasusa kwenda msikitini au kanisani anza kwenda.
 
Kwanza umeitwa kwa ajili ya interview ya post gani mkuu?!

Asante sana ndugu +255..,Amesema kesho kutakuwa na details zaidi kwenye gazeti la daily news..,lakini nafikiti ni IT maana ndo nimesoma hiyo.
 
I am probably not the right person to give you this advice, as a matter of fact all interviews are the same regardless of position or industry. Consider the following points:

- Do intensive research on a company and in particular the department you want to work with, simply know the company well.
In most company websites, they ussually put in details all the company policies related to the position you have applied for.

- You must convince them that you will be committed for life, they feel safe when spending money to train you.
Show you can do attitude, but you need to show them that you listen and follow instructions for the benefit of the company.

-Dress presentably, suit if you can with a tie.

-Be confident, look straight to the interviewer/s eyes when talking to them and make them feel comfortable with you. They want someone they can cope with.

-If your voice start to disappear, breath out and not in, this means there is too much air in you mouth which you don't need and all this wil make you words come out more clear.

-Whatever you do just don't drink FIZZY DRINK - I CAN ASSURE YOU IF YOU DO, THE FIZZINES WILL COME OUT DURING THE INTERVIEW. Otherwise good luck.
 
Thank you kaka kwa ushauri mzuri..,nitajitahidi kufuata kama ulinivyoshauri..!
 
Suala la Interview linataka maandalizi ya kutosha, watu wametoa ushauri mzuri sana siataki kurudia waliyoyasema ila niongeze mambo machache. SELF CONFIDENCE, Wear Smart, na pia Katika kujibu kwako epuka kuzungumza maneno usiyoyajua vema kwani unaweza taja neno labda kwa sababu ulikwisha wahi kulisikia mahala ukajikuta unaambiwa ulielezee na unakuta huna details za kutosha. Mwisho jaribu kuwa short na clear katika majibu yako epuke stories katika kujibu, bla bla hazisaidii.
Kila la kheri.
 
Asante kaka..,ushauri wako ni wa msaada mkubwa sana kwangu..!
 
Hello wadau wa JF..!
Bila kutarajia kama inawezekana leo nimepigiwa simu toka secretarieti ya ajira kuwa nimeitwa kwenye usaili wiki ijayoi. Kwa mwenye uzoefu na jamaa hawa au usaili kwa ujumla naomba ushauri ili nipate mwongozo wa kujiandaa kukabiliana nao.
Nawashukuru wote kwa ushirikiano na msaada wenu.
Sina la kusema sana maana naona maoni ya wadau ni muhimu sana, hata hivyo ukiambiwa mengi sana mwishowe utasahau. Hongera sana, walisema mnafanyia wapi interview?

Sectretariet ya ajira hawafanyishi watu interview kaka jaribu kuangalia vizuri wao ni kama waunganishi na ajira au waajiri.........kwani
hao sio Taesa au?
 
Hello wadau wa JF..!
Bila kutarajia kama inawezekana leo nimepigiwa simu toka secretarieti ya ajira kuwa nimeitwa kwenye usaili wiki ijayoi. Kwa mwenye uzoefu na jamaa hawa au usaili kwa ujumla naomba ushauri ili nipate mwongozo wa kujiandaa kukabiliana nao.
Nawashukuru wote kwa ushirikiano na msaada wenu.

Kuna maswali ambayo ni common katiika interviews nyingi
1. Describe yourself......Jitahidi kujianda kwa maelezo mafupi; muhimu onyesha kuwa weewe ni mchapa kazi, uko tayari kujifunza na ni mtu makini (you give attention to details and able to work independently and as part of a big team)
2. What is your weakness & strength...kwenye weakness usijimalize kwa majibu kuwa nina hasira za kari, sipendi watu wavivu badala yake jaribu kuchagua kitu ambacho kitatoa picha kuwa una udhaifu ambao unaweza kuufanyia kazi
3. What do you bring to this Job/Why should we hire you?...Mdau kashaeleza jitahiid uijue hiyo taasisi, changamaoto gani wanakabiliana nazo nk......in short usiende pale ukiwa hujui hichite usisiste iuwaambia ktk interview kuwa unaifahamu taasisi (kama ni kweli)
 
Back
Top Bottom