Dizaini mpya ya hijabu!

<!--[if gte mso 9]><xml> <w:WordDocument> <w:View>Normal</w:View> <w:Zoom>0</w:Zoom> <w:punctuationKerning/> <w:ValidateAgainstSchemas/> <w:SaveIfXMLInvalid>false</w:SaveIfXMLInvalid> <w:IgnoreMixedContent>false</w:IgnoreMixedContent> <w:AlwaysShowPlaceholderText>false</w:AlwaysShowPlaceholderText> <w:Compatibility> <w:BreakWrappedTables/> <w:SnapToGridInCell/> <w:WrapTextWithPunct/> <w:UseAsianBreakRules/> <w:DontGrowAutofit/> </w:Compatibility> <w:BrowserLevel>MicrosoftInternetExplorer4</w:BrowserLevel> </w:WordDocument> </xml><![endif]--><!--[if gte mso 9]><xml> <w:LatentStyles DefLockedState="false" LatentStyleCount="156"> </w:LatentStyles> </xml><![endif]--><!--[if gte mso 10]> <style> /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;} </style> <![endif]--><!--[if gte mso 9]><xml> <o:shapedefaults v:ext="edit" spidmax="1026"/> </xml><![endif]--><!--[if gte mso 9]><xml> <o:shapelayout v:ext="edit"> <o:idmap v:ext="edit" data="1"/> </o:shapelayout></xml><![endif]--> DIZAINI MPYA YA HIJABU!
Hivi ni haka katambara ndo kanawatoa povu ndugu zetu hawa??
 
Wanapomaanisha hijabu huwa wanaaanisha vazi la heshima ambalo linamstiri mwanamke kuficha sehemu zake zinazoweza kumwingiza mtu wa jinsia nyingine katika mwonekano wa tamaa au kumtia majaribuni sasa hata nyele pia ni kitu kimojawapo ilaaa ule ni mtandioo wana jr mama aliteleza kidogo
asante kwa kuwaelewesha vizuri, nadhani wamekupata
 
Grrrrrrrrr :(
Anyway may be hujui kutofautisha, dira na vazi linalofunika mwili nzima mpaka shingoni na Hijabu huvaliwa kichwani na kufunika mpaka shingoni.

Jamani acheni hulka hizi maana ni kama mna-offend imani za watu wengine, pia wapo wanachama wa CDM ambao ni waislamu na naamini kabisa wanasononeka sana kwa udhalili huu unaoruhusiwa kujadiliwa humu JF.

Apparently, kutokana na mwamko mkubwa walionao wananchi kwa sasa it's true kwamba wapo baadhi ya waislamu wenye dhamira ya kujiunga rasmi na CDM lakini kwa offensive kama hizi dhidi ya imani za waislamu ni wazi kuwa kutakuwa na kigugumizi.

Mr. Toyo amini Bakwata ni wababaishaji sana, hivi wanazuoni wote wa Bakwata wameshindwa kutofautisha USHUNGI na HIJABU! Ni muujiza kabisa, halafu suala la yeye kukamatwa halihusiani kabisa na dini yake ila ninachokiona ni unyanyasi wa kinjisia ambao unaweza kujengewa hoja na si vinginevyo!
 
Siwezi kutoa rai yoyote hapa. Sijapata maelezo kamili. Huyu mwanamke ni mkuu wa wilaya ya igunga. Na huyo jamaa aliemshika mkono na hao wengine walomzunguka ni nani ? Huyu mama kafanya kosa lipi hata afanyiwe hivyo. Sababu pia tukumbuke huyu ni mkuu wa wilaya si kitu cha kawaida kuwa anigiliwe na kuburuzwa bila watu kuambiwa nini alifanya huyu mama kustahili hayo.
 
Hizi jazba za kijinga zitatuangamiza watanzania. Mbona tuchanganya sana dini kuiingiza kusikopaswa, mwisho dini zetu zitadharauriwa sasa!
 
Looh jamani watu ni waongo sipati picha. Yaani hiyo ndio hijabu aliyovuliwa dc mama dc wee! Sasa hicho si kitambaa tu alikuwa ameegeshea kichwani! Penye vurugu si lazima kingeteleza tuu. Masheikh muogopen allah huyo mama alikuwa kavaa tuu mtandio ambao hata upepo ungeweza kuuosongeza.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom