Mzee David Wakati Katutoka Leo

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali panapostahili. Sote ni njia moja.
 
Tumshukuru Mungu wetu kwa maisha aliyompa David hapa duniani na akaweza kufanikiwa katika kazi zake, hasa katika ajira kwa kulitumikia Taifa letu akiwa mtumishi wa Radio Tanzania. Apumzike kwa AMANI!
 
Namkumbuka huyu wakati huo akiwa Mkurugenzi wa RTD,pia alikuwa akiendesha kipindi mashuhuri cha NIPE HABARI. Sauti yake ilikuwa nzito ya wastani isiyokuwa na mikwaruzo kama ya Jacob Tesha wala mbwembwe kama kama za wakina Jongo na Benedict Kikoti (Ben Kiko).

BWANA alitoa na BWANA ametwaa, Jina la BWANA libarikiwe!
Amina!!
 
Back
Top Bottom