Recent content by Boonabaana

  1. Boonabaana

    JamiiForums Tanzania Tanzania nzima inaweza msahau Hayati Magufuli ila sio Tabora

    Nani kakudanganya kuwa mkoa wa Tabora ni miongoni mwa mikoa inayotoa mapato makubwa sana! Kwa kuuza nini? Maembe na tumbaku? Tumbaku yenyewe Wanyamwezi wamesusia kulima kutokana na mizengwe ktk vyama vya Ushirika. Then unadai wewe Msabato; Usabato haukufikishi mbinguni yakhe!
  2. Boonabaana

    JamiiForums Tanzania Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

    Haisaidii chochote!
  3. Boonabaana

    JamiiForums Tanzania Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

    Tatizo mnaishi kwa kukariri!
  4. Boonabaana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waumini wa dini ya Rastafari(Rastafarians) wapata afueni mahakamani baada ya kuwasilisha kesi dhidi ya Olympic High School

    Hata madevu ni sunna kwa wengine.
  5. Boonabaana

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Magufuli huwa hana urafiki na mtu yeyote?

    Ungetoa na mifano kabisa ya wale walio stand alone na kuwa strong.
  6. Boonabaana

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ampongeza Rais Magufuli kwa kuwasamehe wabunge wake Nape, January na Ngeleja ampongeza pia Sugu kwa kufunga ndoa Kanisani

    Ha, ha, ha; the same way the proverbial carrot is used to control the proverbial house!
  7. Boonabaana

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi huomba kufanyiwa upasuaji badala ya kujifungua kawaida

    Umetumia mbinu gani kufanya huo utafiti wako? Neno 'wengi' ni relative term. Una maana gani unaposema 'wanawake wengi'?
  8. Boonabaana

    JamiiForums Tanzania Msaada waungwana kwa tatizo hili la mita ya ZECO

    Eti TANESCO ya Zanzibar!
  9. Boonabaana

    JamiiForums Tanzania Nafananishwa sana na watu hii inatokana na nini?

    Bhangi effect!
  10. Boonabaana

    JamiiForums Tanzania Nimepata kamtaji kadogo kwa kudunduliza dunduliza nkawaza kufungua duka la nafaka

    Kamtaji kadogo kisha unataka kununua bei ya jumla! Haya bwana.
  11. Boonabaana

    JamiiForums Tanzania Huyu Faizafoxy atakuwa ni mmama, mdada au mbibi? Navutiwa naye sana!

    Ndiyo huyu Faiza aliyeleta Uzi wa Sophia (humanoid robot) aliyepewa uraia wa Saudi Arabia au Faiza mwingine?
  12. Boonabaana

    JamiiForums Tanzania Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    Oliver N'Goma - Muetse
Back
Top Bottom