Msaada nataka mchangiaji akaione thread yake aliyoichangia mwaka jana nitampelekaje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada nataka mchangiaji akaione thread yake aliyoichangia mwaka jana nitampelekaje

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ukwaju, Aug 13, 2012.

 1. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Wakuu wakati tunachangia, nimekutana na mchangiaji kakataa kuwa hajawahi kutumia hayo maneno ambayo yamo humuhumu JF kwenye jukwaa lingine na mwaka jana lakini Heading naiona na amechangia No. 121 nitamwekaje ili abonyeze HAPA na atokezee kwenye No. hiyohiyo 121 badala aperuzi ukurasa mzima ambapo uangonga link na ku-copy sasa mm nataka nitokeze kwenye No. 121 aliyoichangia,

  Pili kuliweka jina lake la uMember analolitumia mfano ukwaju akibofya aende moja kwa moja kwenye member huyo?
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kaa hapohapo usuniri wataalamu waje
   
 3. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,157
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Mie napita tu nitarudi baadaye
   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Njia rahisi ni kuquote post ya zamani direct kwenye topic mpya husika bila kumpeleka nyuma.
  Fanya hivi;
  Fungua JF kwenye
  post ya zamani unayotaka kumquote,
  Then chini ya post hiyo click reply with quote,
  Baada ya hapo kitafunguka chumba cha kuandikia kikiwa na quote yake, chakufanya ni kucopy quote hiyo.

  Kisha rudi kwenye topic mpya na paste kwenye chumba cha kuandikia na upost, au unaweza kuongeza na maneno yako kwa chini yake au juu ya yale ulio paste

  Kuhusu kumtaja jina unatakiwa kutanguliza alama @ ikifuatiwa na jina la memba bila kuacha nafasi

  Mfano Ukwaju
  Sijui kama maelezo yangu yamejitosheleza
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Mkuu nashukuru sana saana
  nisaidie tena ikiwa nataka akatokee kwenye ile Topic (thread nzima) wakati No. yake ni 121 ili aone na za wenzake itatokea? maana kuna ile ya GRForever ktk Mobile user ya BONYEZA HAPA
  uaningia kwenye link nzima sasa nilifikiri ipo njia km hiyo ya kuingia hadi kwenye mchango husika (mfano No. 121) bila ya kuonyesha maelezo hayo ili yeye akajitafutie huko.
   
 6. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  NingaR hawa wataalm wameanza kuja, ila nafahamu ww ni Mtaalam zaidi yao kwani kwenye topic ya for THE MOBILE USER ulitufundisha mengi hapa usitutupe kwani ww si mchoyo wa elimu katika JF km Mh. GRForever
   
 7. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Okay Mkuu, kwa ku mpeleka moja kwa moja katika post yake itakua ngumu ila unaweza mpeleka katika thread nzima na kumwambia aangalie post yake Mfano hiyo ya 121, hapa unacho takiwa ni kutumia mtindo wa kumpa link ampapo utafanya hama ifuatavyo
  (url=HAPA WEKA LINK YA POST)HAPA WEKA NENO LITAKALO ONEKANA KAMA VILE NENO "HAPA"(/url)
  ila wewe usiweke mabano ya () weka ya [].
  Jinsi ya kupata link ya thread husika nadhani unafahamu.
   
 8. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,451
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Hapo tumia bbcodes weka hivi [*url=http://jamiiforums.com]Hapa[/url*] ondoa nyota

  hapo kwenye jamiiforums weka link ya thread yako
   
 9. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #9
  Aug 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,149
  Trophy Points: 280
  bbcode ndo code rahisi yani ukisema tu nataka nioneshe post ya mtu jua tag hapo ni post

  Mfano andika
  [post=4420651]post ya ningar[/post]

  Basi utapelekwa kwenye post ya ningar cha muhimu ujue id ya post ambayp ni rahisi kuijua ukiclick link ya kuireply hio post inatokea kwenye quote na kwenye url pia

  Mfano click hapo chini utaona unapelekwa


  [post=4420651]post ya ningar[/post]

  Enjoy guys
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Aug 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,149
  Trophy Points: 280
  hapo ni katika post ya nokia fans ningar akimpa mtu dozi click link chini

  [post=4402562] we acha uongo asha ipi haina watsapp[/post]
   
 11. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #11
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Nilikwambia NingaR bado unakubalika na hii na hakika ni elimu kwa watumiaji wote wa JF kwani tunasumbuka sana kufungua page ukirudi Thread imeruka au imefutwa Thanxxxxxxxxxxxxxxxxxx
   
 12. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #12
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Donn nashukuru sana nitajifunza hizo bbcodes, ila umeniambia hizo **** huwa hazipo au sijakuelewa
  hata hivyo nakushukuru kwa niaba ya wote watakaojifunza
   
 13. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #13
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  chief Mkwawa kamwene ww mkaliii maana watu humu ndani wanasumbua ukimwelekeza kuna siku kadanganya anauliza source wakati yy kachangia sasa tutawakomesha
  Axante sana na Thanxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
   
 14. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #14
  Aug 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,149
  Trophy Points: 280
  Usihofu tupo pamoja
   
 15. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,451
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  ningeondoa star usingeona codes. We jaribu hapo chini bila stars
   
Loading...