Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,963
- 1,617
Habari.
Hapa juzi ya tarehe 29.05.2017 hawa ZECO (Tanesco ya Zanzibar) walinifungia mita ya Tukuza (luku) pamoja na zile units 50.
Sasa baada ya kuona zinaisha zile units nimeamua kwenda kununua nyingine hapo hapo headquarter kwao umeme wa 50000/
Nikaambiwa wamekata deni lote yaani zile units 50, na nikapewa token ya units 98.9,
Sasa nimekuja kuuweka huo umeme wakati namalizia digit ya mwisho mita ikatoa ule mlio kuashiria imezipokea hizo nambari.
TATIZO LIPO HAPA:
1 Units nilizoongeza hazijasoma kwenye display yaani zilizopo ni zile za awali.
2 mita inawaka kuashiria umeme upo lakini ndani haupo.
Naombeni msaada jamani maana Kwa muda huu hawa watu wa huku ofisi washafunga.
Asanteni