Recent content by bonjov

  1. bonjov

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Thamani ya hizo ni madafu luuundo milima milima rubber band kibao...wallet la madafu linachakaa mapema sana 😂😂
  2. bonjov

    JamiiForums Tanzania Kabla sijaenda kufanyiwa Operation Jumatatu nina ujumbe kwa waJF kadhaa

    Huyo Uncle akilia tu... mpe simu niongee nae kuna dili nataka kumpa la maana sana
  3. bonjov

    JamiiForums Tanzania Bwashee kwa totozi za humu ukishawahi jizolea?

    🌙Shiner vip tena bwashee...miezi hii unashine sana naona 😂
  4. bonjov

    JamiiForums Tanzania Wauza migahawa acheni upumbavu, hakuna chai bila majani ya chai.

    Yoda Bwana 😀...siku zooote unaipiga hiyo chai iliyounguzwa sukari mpaka umri huo ila leo hii umekumbuka majani aka TATEPA. 😂
  5. bonjov

    JamiiForums Tanzania You Attract What You Think and Believe - Is Your Mind Your Biggest Enemy or Power?

    Positive thinking huwa inafanya kazi sana inakuwa ndio energy yako to drive you na hata kama isipotokea inategemea na wewe akili umeiwekaje kupokea though hukutegemea. Huwa inadepend na mtu, kuna baadhi kila ukikutana nae yeye n- na ndio maana wengine wamegundua njia bora to stay positive ni...
  6. bonjov

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Kesho nitatuma upya nyingine 😂
  7. bonjov

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Hewa tunapataa 😂 Wa kushoto hyo mwingine young bro 😀
  8. bonjov

    JamiiForums Tanzania Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

    Mjini bana brand ya kubana sauti 😂 Ngoja nikaze mzigo wa spring nimtumie twente 😀
  9. bonjov

    JamiiForums Tanzania Let’s communicate in code.

    Ti ti titiii tiii tiiiiii to ti ti ti tiii ttii...😆
  10. bonjov

    JamiiForums Tanzania Kama kuna kosa alilifanya MUNGU ni kumuumba mwafrika, ngozi nyeusi! Hapo alikosea sana. Angalia msafara wa Rais wa Gabon

    Ukisikia "HARAKATI ZA MTU MWEUSI" ndio hizo sasa ni "mibio mibio" tu, piga, kanyaga, safisha, rundika (embezzling)....you feel me nigga 😂
  11. bonjov

    JamiiForums Tanzania Sadio Mane awekeza kwenye kiwanda cha embe (Mango plant) kijijini kwake Bambali

    Dah maneno mazito kidogo haya 😬☺️
  12. bonjov

    JamiiForums Tanzania Weekend loading, maandalizi ya mapema kama mnavyoona!

    HIyo hawaoni ni jokes 🤣🤣 NATINGISHA MEZA bana kidogo 😂
  13. bonjov

    JamiiForums Tanzania Weekend loading, maandalizi ya mapema kama mnavyoona!

    Na pilipili anaongeza 😃
Back
Top Bottom