Mabroo hatutoi connection, dogo usizubae stuka!

Naijua turiani vizuri sana enzi hizo nilikuwa nakunywa bia baa zifuatazo.
1. Usangi.
2. Meeting point
3.sanene
4. Hapa kwenye geti la darajani sikumbuki jina.

Maeneo maarufu.
Nyumba ya mkapa MAREHEMU.
Ikulu ndogo katikati ya miwa karibu na airport hapa ndio alifichwa piere nkurunzinza wakati flani.

Vijiji maarufu kunke lusanga mhonda nk ni muda sana Sasa so turiani naifahamu vizuri.
 
Pale turiani Morogoro, kuna sehemu inaitwa dakawa karibu na mto wamii , yaani pembezoni mwa mto wami , karibu na kambi ya kiwanda cha miwa cha mtibwa ( dakawa).

Kuna mchongo wako ewe kijana wa kupiga pesa .

Kuna mapori ya bure kabisa una feka kwa tani yako unapata shamba la umwagiliaji , unalima misimu mitatu bure , baada ya hapo unakodishiwa na kupewa fursa ya kununua kwa bei sawa na bure.

Ewe kijana shtuka sikubembelezi gademitt.
Mkuu sisi wazee hatuhusiki na hiyo fursa?
 
🌙shiner vip tena 😄
Wanajaribu kutikisa meza ilihali una uwezo wa kiweka oda "upuya" in 🍻 voice 🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom