Nina maumivu makali mno ya jino

Nina maumivu makali mno ya jino

Mkuu Tazama hapo juu nimekuandikia hizo dawa za kumeza nunua kadiri ya kipato chako,Nunua hata za buku tu zinatosha!,Ukiwa na elfu 7000 inatosha kabisa kununua hizo dawa hapo
Hizo hapo nimechukua tayari
PXL_20260620_160915393.jpg
 
Jino linaniuma mno
Sitaki kung'oa maana nishangoa Moja naogopa mapendo.

Mwenye dawa ya dharula ya jino bila kung'oa aniekezee

Nahitaji uamuzi wa kung'oa kuziba au kung'oa uwe wa mwisho baada ya kila njia kushindikanq
Mkuu tatizo upo daah huku villa kuna dawa ya kienyeji unapona kabisa cozi inafanana na sensitivity toothpaste ila ni ya majani na mizizi
 
Pole mkuu, jino likichamamaa ni balaa..mimi niling'oa ingawa niliwahi ziba mara mbili ..mara mwisho nilimwambia Dentist litoe tu.
 
Mkuu narudia tena dawa ya jino ni king'oa tu nimeshatoa meno mawili mpaka na naona dalili ya jino la tatu kulitoa tena kunawatu watakudanganya mara tumia ugolo,tumia mdalasini mix na tangawizi,mara tumia mkojo wako wa asubuhi,asali,tumia bangi ila wote wanakudanganya tu mwenzio nilitumia kila aina ya dawa au kitu chochote ambacho nilihisi kinaweza kunisaidiz lakin wapi karibia nitumie mavi yangu baada ya mpuuzi fulani kunidanganya
 
Back
Top Bottom