Tunauza coil za mabati(mpya/rejects), mabati scraps

Tunauza coil za mabati(mpya/rejects), mabati scraps

Joined
Jun 28, 2025
Posts
43
Reaction score
39
Tunauza Coil za mabati, aluzinc coil kwajili ya mabati ya kawaida, coloured coil kwaajili ya mabati yenye rangi.
Rejected coils, unaweza kuja kununua kama scraps au kwa matumizi yako mengine.
IMG-20260629-WA0016.jpg
IMG-20260629-WA0015.jpg
IMG-20260629-WA0013.jpg
IMG-20260629-WA0012.jpg
IMG-20260629-WA0012.jpg
IMG-20260629-WA0007.jpg

IMG-20260629-WA0004.jpg

0718224995
 
Sema bado unatuchanganya .ebu tuwekee kwenye coil Moja bei gani Kwa shilingi.
Coil tunauza kuanzia tani 1, tunatengeneza coil kulingana na uhitaji wa mteja. Bei inatofautiana kulinga na unene wa coil unayonunua. Kwa mfano unahitaji coil ya aluzinc yenye unene wa 0.18. Hii coil tani moja tunauza dola 1360, hii ni sawa na pesa za kitanzania shilingi 3,590,400. Kwahiyo coil moja ya tani moja, yenye unene wa 0.18 bei yake ni shilingi za Kitanzania 3,590,400.
 
Hapa sawa.na hizo screpa mnauza vipi au maelewano
 
Back
Top Bottom