Recent content by boblyy sams

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Vyuoni barua za placement zinaandikwa kutoka chuoni, kwenye taasisi barua zinatoka kwa katibu wa utumishi. Hivyo kunakuwa na foleni kwenye uandaaji wa barua tofauti na chuo ambacho barua zinakuwa chache.
  2. B

    JamiiForums Tanzania UWEZO WA KUKAA NA MKOJO KWA MUDA MREFU

    Husika na heading. Kati ya mwanaume na mwanamke ambao hawana matatizo yeyote ya kiafya, nani anaweza kukaa na mkojo(holding pee) kwa muda mrefu kuliko mwenzake na kwanini?. Nawasilisha
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NATAFUTA DISPLAY YA TECNO W5

    sipo tayari
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NATAFUTA DISPLAY YA TECNO W5

    inapatikana wapi hiyo mkuu
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NATAFUTA DISPLAY YA TECNO W5

    Nina shida na display ya Tecno W5, simu yangu imeharibika display so kama kuna fundi anaweza kufix tatizo hili anijuze bei ya matengenezo na sehemu alipo but iwe within Dar-es-salaam.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuna kunguni kwenye mabweni ya UDSM. Chuo kitafute suluhisho

    Habari wanajamvi,,, Hali ya usingizi katika chuo pendwa cha udsm sasa ni mbaya,,,,, kunguni wameondoa ladha yote ya usingizi imeisha,,, sio hostel za campus wala mabibo hali ni mbaya. Watu wanakesha vimbwetani waweza fikiri wanasoma kumbe watu wanakimbia kunguni vitandani kwao ,,, sasa hivi...
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VIGANJA VYAKE VIGUMU

    kwingine ni mtelezo tu
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VIGANJA VYAKE VIGUMU

    mafuta ya kupikia au mafuta ya taa
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VIGANJA VYAKE VIGUMU

    subiri nirudi nyumbani nimfotoe
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VIGANJA VYAKE VIGUMU

    Habari zenu wanajamvi,,,Naombeni ushauri mpenzi wangu viganja vigumu sijui kapiga jembe sana,,, Sasa tukiwa kwenye nipe nikupe yetu akinishika tu hasa dude basi analichubua na linavimba hatareee,, mpaka nimemuambia tukianza kupenzika asinishike akiwa mbishi namfunga kamba mikononi tu mimi napiga...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ngaiza asante kwa kuandaa vitabu

    ni PM mkuu kla kitu utajua
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ngaiza asante kwa kuandaa vitabu

    Habarini za muda huu wakuu,, Naomba kuchukua fursa hii adhimu kabisa kumshukuru SIR. NGAIZA kwa kufanya revolution kubwa sana ambayo ni msaada mkubwa kabisa katika kujifunza somo la advance chemistry nchini. Series ya vitabu vya chemistry ulivyoviandika sir vinasaidia sana katika kujifunza...
  13. B

    JamiiForums Tanzania NDOTO

    Habari zenu,, Ilikuwa majira ya saa nane mchana, nilikuwa nipo kwenye treni ya umeme nikitokea mbagala ambayo ilikuwa mithili ya jiji la washington d.c nikielekea zangu k. koo ambayo ilkuwa imegubikwa na maghorofa marefu kama vile dubai,,nililazimika kutumia public transport yaani treni ya...
Back
Top Bottom