Hali yazidi kuwa tete: Stashahada ya Juu ya ualimu shule ya msingi yafutwa

Anonymous

Senior Member
Feb 3, 2006
125
321
Hii ni kwa Vyuo vyote vya serikali na binafsi.

Elimu ya diploma ilikuwa chini ya NACTE sasa inarudi NECTA na kufuata mfumo wa zamani.

Higher Diploma imefutwa.

Source: Waraka namba 5 wa tarehe 9/11/2016

IMG_0633.jpg

IMG_0634.jpg
 
Duuuuh Tanzania imekuwa nchi ya hovyo sana....

Sometimes wanyonge naona wanyonge wanaoongelewa ni sijui wapo magogoni Tu......
 
Back
Top Bottom