UWEZO WA KUKAA NA MKOJO KWA MUDA MREFU

boblyy sams

Member
Jul 1, 2015
26
75
Husika na heading.
Kati ya mwanaume na mwanamke ambao hawana matatizo yeyote ya kiafya, nani anaweza kukaa na mkojo(holding pee) kwa muda mrefu kuliko mwenzake na kwanini?.
Nawasilisha
 
sab

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
5,738
2,000
Mwanaume anaweza kaa na mkojo kwa muda mferu zaidi kuliko mwanamke, huo ndio ukweli kabisa
 
From Sir With Love

JF-Expert Member
Sep 13, 2010
1,922
2,000
Husika na heading.
Kati ya mwanaume na mwanamke ambao hawana matatizo yeyote ya kiafya, nani anaweza kukaa na mkojo(holding pee) kwa muda mrefu kuliko mwenzake na kwanini?.
Nawasilisha
Sijui mantiki ya swali lako, lakini kibofu cha mwanaume na mwanamke kina ukubwa sawa. Wanasema ukubwa wa kibofu cha mtu hutegemea ukubwa wa umbile lake.

Inawezekana mwanaume anaweza kuuzuia mkojo wake usitoke kwa muda kidogo zaidi kwa sababu ya maumbile yake, tofauti na mwanamke. Kibofu cha mwanamke kikijaa, nadhani huwa kinakandamiza kizazi. (Sina uhakika na hili)

Lakini kikubwa ni kwamba huna haja ya kuzuia mkojo usitoke kwa sababu yeyote ile. La sivyo unajitakia matatizo.
 
Sep 2, 2016
47
125

Kwel kibofu cha mwanamke kikijaa hukandamiza kizazi na hapo husikia maumivu inapelekea kushindwa kuuzuia mkojo pale kibofu kinapo jaa,,tofauti na mwanaume yeye anaweza akazuia mkojo kwa mda mrefu,kwahio mwanaume anaweza zuia mkojo kwa mda mrefu kuliko mwanamke,,ila kuuzuia mkojo wakat umejaa kwa kibofu ni hatari kwa afya yako kwasababu mkojo unachumvi chumvi unavyoendelea kukaa hii husababisha kuchunika kwa kuta za kibofu pia sphincter muscels so ukijaa nenda kaumwage mkuu
 
david steve

JF-Expert Member
May 17, 2015
833
1,000
siku moja foleni tight sana gari za mbagala kwa kujaza mdada kabanwa mkojo maeneo ya darajani mtongani ikabid dereva aweke gari pembeni akashuka sema giza ilkua tayari
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
42,853
2,000
Duuuh aisee mimi huwa sina tabia ya kukaa na mkojo muda mrefu...kibofu kikijaa tu nakojoa fasta kwa maana hamna faida nipatayo ya kukaa na mkojo muda mrefu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom