Matokeo ya Kidato cha Pili hewani: St. Franscis, Kilimanjaro Islamic na Kaizerege waongoza

Naomba msaada wa kunisaidia matokeo ya mdogo wangu,ni QT namba ya mtihani M0441-0002
 
Shule za mwisho Tanga na Mtwara. Ni mikoa yenye watu wanaofaulu sana Madrasa!
 
Habarini za asubuhi?
Naomba ambae amepata link ya uhakika ya kuangalia matokeo ya form two anipe direction
 
Kumi bora kitaifa (both boys & girls)
-Teckla Haule (Canossa, Dar es Salaam)
-Joseph Kalabwe (Kwema Modern, Shinyanga)
-Mirabel Matowo (Canossa, Dar es Salaam)
-Hamida Kihiyo (St. Aloysius, Pwani)
-Rachel Sogoja (Heritage, Pwani)
-Clare Hamissi (Feza Girls, Dar es Salaam)
-Roselyn Kissaka (Feza Girls, Dar es Salaam)
-Joy Kimambo (Feza Girls, Dar es Salaam)
-Venastra Mringo (Feza Girls, Dar es Salaam)
-Babymaisara Kimazi (Feza Girls, Dar es Salaam)

Kumi bora ya wasichana tupu
-Teckla Haule (Canossa, Dar es Salaam)
-Mirabel Matowo (Canossa, Dar es Salaam)
-Hamida Kihiyo (St. Aloysius, Pwani)
-Rachel Sogoja (Heritage, Pwani)
-Clare Hamissi (Feza Girls, Dar es Salaam)
-Roselyn Kissaka (Feza Girls, Dar es Salaam)
-Joy Kimambo (Feza Girls, Dar es Salaam)
-Venastra Mringo (Feza Girls, Dar es Salaam)
-Babymaisara Kimazi (Feza Girls, Dar es Salaam)
-Janeth Nandi (Marian Pwani)

Kumi bora ya wavulana tupu
-Joseph Kalabwe (Kwema modern)
-John Bugeraha (Marian Boys, Pwani)
-Evance Munishi (Marian Boys, Pwani)
-Isack Julius (Marian Boys, Pwani)
-Avith Kibani (Marian Boys, Pwani)
-Emmanuel Dismas (Marian Boys, Pwani)
-Harry Mshana (Marian Boys, Pwani)
-Salim Mchomvu (Marian Boys, Pwani)
-Lorian Njian (Kaizirege Junior, Kagera)
-Omega Lugata (Marian Boys, Pwani).

Source: Website ya Gazeti la Mtanzania
 
Kuna shule imepigwa Results Withheld, Fee hawa yamewasibu yapi? Hawakulipa fee za mitihani na kama ni hivyo namba na mitihani walitoa wapi?


Akilipa anapata matokeo yake na anaendelea na shule kama amefaulu lakini inawezekana yamekua yamezuiwa kwa sababu nyingne kama udanganyifu.
 
Vijana naona wanazidi kumwangusha mama ndalichako,Mama anakaza juu huku chini kumbe kumetoboka vibaya sana
 
Back
Top Bottom