HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Msaada tutani !!
Nilifanya interview chuo X mwaka huu, nikafika oral (Placement ilishafanyika) hivyo nina selected for oral moja. Leo hii imeongezeka selected for oral nyingine chuo hichohicho post nyingine ambayo nilitwaga interview ila sikwenda hii inakuwaje?
huwez kuwa selected for oral kama writtern bado mkuu una received au?
interview niliyo itwa sikwenda niya miaka ya nyuma
 
Back
Top Bottom