Nikidownload nyimbo hazikubali kuplay, Picha za kupiga na zile ninazotumiwa whatsapp zinaharibika, nikidownload App nfano bible, dictionary hazifungukizinaandika waiting WIFI, PIA baadhi ya Picha nazopata kwa njia ya whatsapp naweza kutumiwa moja baadaa ya mudahiyo Picha moja zinakuwa zaid ya 7 .
Habari za majukumu wakuu...
Tafadharini naomba kuuliza nimekuwa nikiona kwenye page za watu maalufu mfano kwenye tweeter, followers 11.1k n.k hiyo k inamaanisha nini?
Ndiyo ni kwamjibu wa sheria zetu.
Kuchukua kienyeji watu wanakosea ila taratibu zake zipo japo kwa hapa TZ hili zoezi la kuadopt c common sana.taratibu n nyingi hapo nimetaja baadh tu.Kama unataka kufanya hivyo waone afisa ustawi wa jamii. Watakupa utalatibu. Au utawasiliana na mm naaweA...
Ni kuasili mtoto, mtoto asiye wako wa kuzaa unamchukua kisheria anakuwa wako.
Kwann watu wanaadopt?
1.kuzaa watoto wa jinsia moja
2.kutokuwa na uwezo wa kuzaa/kuzalisha.
3. Mapenzi/upendo n.k mtoto ambaye umem-adopt huwez kumuona nikosa kisheria.
Pia mtoto unayem-adopt lazima umzidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.