Mimi ni polisi: Leo halali nyumbani

Mimi ni polisi: Leo halali nyumbani

Duh! Jamaniiii Ntuzu mwallu ntamaholo Polisi masai dada babuz Asprin na Dark City hebu nisaidieni kumjibu huyu mtu

Ugonjwa wa ukimwi hauangilii km wewe Ni masikini au Tajiri, kijana au Mzee, wasomi wakubwa na wasio wasomi, wachungaji au mapadri au mashehe au Ni muumini wa kawaida, askari au raia Wa kawaida, mwana michezo au shabiki wa michezo! Bouncer au mwanamieleka! Kiongozi au muongozwa! Haungalii MTU yoyote Yule! Ukimwi unauwa tu. Sasa huyo mdau km haelewi haya achana naye!
 
Last edited by a moderator:

Weka wazi ukimwi hauna urafiki na mtu mwenye kufuata maagizo yote ya mwenyezi mungu kama una Mke anamjua mungu na kumtii vyema na wewe uwe hivyo hivyo ukimwi hautawapata sasa mimi nasema ukweli kuwa ukimwi ni adhabu ya mwenye dhambi ya uzinzi bila mpangilio
 
Zambi ya uzunzi bila mpangilio Ni IPI hiyo
 
Nipeni link za thread za huyu Mentor nizisome stori zake zote huwa zinanigusa kiukweli zikekaa kiuhalisia huvi na zinafundisha pia
 
Last edited by a moderator:
Kama upo CCP bora wakuhamishe. Utatuharibia vijana wetu.

Haha mkuu unanionea..nishaacha zamani usela!

kashasema RSM nyanda za juu kusini,CCP imetokea wapi huko?

.bora umenisaidia bro..

Weka wazi ukimwi hauna urafiki na mtu mwenye kufuata maagizo yote ya mwenyezi mungu kama una Mke anamjua mungu na kumtii vyema na wewe uwe hivyo hivyo ukimwi hautawapata sasa mimi nasema ukweli kuwa ukimwi ni adhabu ya mwenye dhambi ya uzinzi bila mpangilio

.meaning si lazima awe polisi peke yake..

Nipeni link za thread za huyu Mentor nizisome stori zake zote huwa zinanigusa kiukweli zikekaa kiuhalisia huvi na zinafundisha pia

.appreciate it mkuu! pitia profile yangu utazipata kiurahisi zaidi bro..au ingia hapa: mwendapole.blogspot.com

Zambi ya uzunzi bila mpangilio Ni IPI hiyo

Dhambi ya uzinzi ni uzinzi sasa bila mpangilio ni pale unapokuwa una Mke au Mume na bado unaendeleza uzinzi utakuwa huna mpangilio tena
 
nw nimejua kitu,kumbe wale trafc wanaokaaga chini ya miti wakati wa jua wanakusanyaga nguvu ya mchepuko
 
Dhambi ya uzinzi ni uzinzi sasa bila mpangilio ni pale unapokuwa una Mke au Mume na bado unaendeleza uzinzi utakuwa huna mpangilio tena

Uzinzi sio kwa wana ndoa tu ata wale ambao bado hawajaoa hawaruhusiwi kufanya uzinzi! Sasa huo mpangilio haupo kwa wana ndoa tu ata kwa wale ambao hawajao.
 
Nafikiri umeelewa vizuri sasa ila mara nyingi watu wasio Kwenye ndoa kidogo wanajitahidi kujikinga japo dhambi iko pale pale lakini Kwa maradhi wanapisha Kwa asilimia 3 baada ya muda na hiyo 3 inaondoka sasa kama ni wajanja wanaanza kupima ikiwa wana malengo mazuri kimaisha
 
Haha mkuu unanionea..nishaacha zamani usela!

.bora umenisaidia bro..

.meaning si lazima awe polisi peke yake..

.appreciate it mkuu! pitia profile yangu utazipata kiurahisi zaidi bro..au ingia hapa: mwendapole.blogspot.com

Sawa kaka naanza mchakato ryt now
 
Back
Top Bottom