msaada ant viruses kwaajiri ya windows phone

Blush

Member
Jan 30, 2015
39
11
Wakuu Habari..
Naombeni msaada Ni ant virus IPi kwaajirl ya Microsoft Lumia 535, simu yangu Ina virus wanatafuna mafile yangu.
 
Duh hz simu hazina virusi na zipo locked app haiwez acess system files,

Mafile gani yameliwa? Sio kwamba hayo mafile hayapo supported? Elezea zaidi.
 
Pretty much kama alivyosema mdau, virus kwenye Windows Phone ni next to impossible maana kila App ipo kwenye sandbox yake haiwezi kugusa app zengine na pia hakuna sehemu ya kupata apps zaidi ya windows marketplace unless ufanye makaratee sana.

Kama unachomeka simu yako kwenye PC kuna posibility virus za PC zinadelete files kwenye simu inapoonekana kama external storage.
 
Nikidownload nyimbo hazikubali kuplay, Picha za kupiga na zile ninazotumiwa whatsapp zinaharibika, nikidownload App nfano bible, dictionary hazifungukizinaandika waiting WIFI, PIA baadhi ya Picha nazopata kwa njia ya whatsapp naweza kutumiwa moja baadaa ya mudahiyo Picha moja zinakuwa zaid ya 7 .
 
Back
Top Bottom