Himawari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 2,609
- 1,703
Kama upo CCP bora wakuhamishe. Utatuharibia vijana wetu.
Mhh pale CCP-Moshi ni kama incubator ya vvu! Makuruta na maafande (hasa toka nje ya moshi) wanapeana tu virusi kama hawana akili nzuri. Nlishaishi maeneo ya karibu na CCP nna uhakika na nlichokiandika!
Mkuu, kwa hiyo sasa na huo u-RSM unaendelea kuchepuka kwa raha zako!! Nakushauri uoe ule mchepuko wako!!