Recent content by blogmaster

  1. blogmaster

    Msaada: Natafuta Host iliyo na Unlimited Storage & Brandwith kwa shilingi 10k-15k

    Husika kichwa hapo juu nahitaji kuhost website lakin nimezunguka mitandao mingi naona wanalipia kwa mwaka lakin mm bajeti yangu haitoshi msaada kwa hilo please ni sehemu gani naweza kuhost website na niwe nalipia kila mwezi
  2. blogmaster

    ZANTEL YATOA KOMPYUTA NA HUDUMA YA INTANETI BURE KWA SHULE NA VYUO ZANZIBAR

    Kampuni ya simu ya Zantel imetoa msaada wa kompyuta 21 na huduma ya intaneti bure kwa vyuo saba vya walimu pamoja na shule ili kuboresha na kukuza mfumo wa elimu kupitia mafunzo ya habari na teknolojia ya mawasiliano. Msaada huo wenye thamani ya Sh milioni 34 umetolewa wiki moja tu baada ya...
  3. blogmaster

    GOOGLE HATIANI KWA KUZUIA USHINDANI WA KIBIASHARA KUPITIA ANDROID

    Muungano wa Ulaya EU umeifungulia rasmi mashtaka ya kujihusisha na vitendo vinavyozuia ushindani wa kibiashara kampuni ya kuhusiana na jinsi kampuni hiyo ya teknolojia inavyotangaza mfumo endeshi wa simu wa android. Kamishna wa ushindani wa kibiashara katika umoja wa ulaya, Margrethe Vestager...
  4. blogmaster

    Mtandao wa viber sasa wafuata nyayo za apple na whatsapp katika usalama

    Makampuni mengi yanayojihusisha na teknolojia siku hizi yanathamini ulinzi na usalama wa taarifa za wateja wake sana. Kwa mfano tumeona kampuni ya Apple ikipinga maamuzi ya FBI kutaka kufungua moja ya simu yake. Pengine baada ya tukio hilo la iPhone ndio ndio limepelekea mtandao wa Whatsapp...
  5. blogmaster

    Vodacom yatakiwa kumlipa mgunduzi wa huduma ya tafadhali nipigie

    Mahakama ya Kikatiba nchini Afrika Kusini imeiamuru kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kumlipa mwanamume aliyebuni wazo la kutuma ujumbe wa kumuomba apigiwe simu. Gazeti la Sowetan la Afrika Kusini linasema mwajiri wa zamani wa Vodacom Nkosana Makate aliambia mahakama kwamba huduma ya “please...
  6. blogmaster

    Imetimia miaka 50 leo tangu nambari za siri (pin) zivumbuliwe

    Je, wajua mtu aliyevumbua nambari ya siri maarufu kama PIN ambayo watu wengi hutumia katika kadi za benki na katika kufanya malipo hakulipwa chochote kutokana na uvumbuzi wake? Mwanamume huyo si mwingine ila ni James Goodfellow. Alipata wazo la kutumiwa kwa nambari za siri kulinda akaunti za...
  7. blogmaster

    Tuzo ya Jamie Vardy imewafuta machozi Waingereza

    . Na Adam Mbwana, Wakiamua wao hakuna anayeweza kupinga maana wao ndio wenye ardhi yao, wao ndio wenye ligi yao na wao ndio wenye vyombo vyao vya habari ambavyo vinaongoza kwa kuwapa watu umaarufu na kuufunika muda wowote wautakao wao. Lakini maamuzi hayo yanakuwa na nguvu endapo tu kama kuna...
  8. blogmaster

    Baada ya punguzo la kodi, Magufuli sasa kufanyia kazi ongezeko la mishahara

    Katika kuadhimisha siku ya wafanyakazi, Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ametangaza kupunguzwa kwa kodi ya mapato PAYE kutoka asilimia 11% hadi asilimia 9% huku hiyo ikimaanisha kuwa kila mfanyikazi atapata ongezeko la mapato yake kwa asilimia 2%. Magufuli alitangaza kauli hiyo kufuatia...
  9. blogmaster

    Aina mpya ya wizi Vodacom

    Vodacom Tanzania Mna lakuongea hapa
  10. blogmaster

    Kuwa makini unaponunua muda wa maongezi/vifurushi kwa M-pesa

    Vodacom Tanzania Njooni mjibu hili shitaka fast kabla hatuja wahama
  11. blogmaster

    hii compture tatizo litakua ni nini?

    Tunge kusaidia kwa haraka endapo ungepiga picha kabisa ya hiyo pc yako
  12. blogmaster

    Jinsi ya kuanzisha Internet Radio

    Tatizo lako ume kalilisha Usi ropoke maneno ambayo hayana tija kwa jamii na sio kila mtu humu jamii forum ni mwizi naomba ujichunge kauli zako kijana
Back
Top Bottom