Recent content by bless 2011

  1. bless 2011

    JamiiForums Tanzania Usaili TAKUKURU

    Cdhan mdogo angu ndio ameomba kwa mara ya kwanza majuz tu hapo na jina Lake limetoka hajafanya usahili wowote ule
  2. bless 2011

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha

    Msaada mwenye connection na shule yoyote naweza fundisha nitashukuru hata kwa kujitolea ili mradi niwe napata posho kidogo haijalishi private au government, pia iwe secondary au primary nitashukuru, pia sio lazima kufundisha kazi nyingine ikiwepo nitashukuru. Nimesoma Bachelor Degree of...
  3. bless 2011

    JamiiForums Tanzania Ni mtandao gani una kifurushi kizuri?

    Tigo kwa mwez 10k unapata GB 4.4 Msg kwa mwez elf 1 tu unapata msg Zaid ya elf10 Dakika kwa wiki elf 1 unapata dkk300+ Kwa mwez vocha kiumla ni elf15 kwa Mimi nisiekua na social network nyingi
  4. bless 2011

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimemaliza Shahada ya Ualimu

    Nimemaliza bachelor degree of education in history and kiswahili language (2019)mwenye nafasi ya kazi katika taasisi yoyote ile naomba msaada wako iwe ndani au nje ya field yangu nitashukuru sana. Nipo Lindi Nachingwea Jinsia; female Age; 29
  5. bless 2011

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi bila urembo hawavutii! Sio wazuri

    Labda wako ,mi mbona navutia
  6. bless 2011

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanzisha day care

    Habari zenu, naomba mwenye idea ya Day care anisaidie ukitaka kufungua day care unatakiwa uwe na vigezo gani na nini kinahitajika ili umiliki Day care na unatakiwa kuanza na watoto wangapi?
  7. bless 2011

    JamiiForums Tanzania Ofisi za ASA Microfinance TZ Ltd ziko wapi?

    Hahhahahhaha Sent using Jamii Forums mobile app
  8. bless 2011

    JamiiForums Tanzania Ofisi za ASA Microfinance TZ Ltd ziko wapi?

    Asante sana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. bless 2011

    JamiiForums Tanzania Ofisi za ASA Microfinance TZ Ltd ziko wapi?

    Samahani naomba kuelekezwa head office za ASA MICROFINANCE LTD Kwa Dar ni wap!!? Yaani napanda bus gani na kushuka kituo gani[emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. bless 2011

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Training Assistant

    WA kike je jaman tunakufa njaa huku
  11. bless 2011

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Sayansi na Hisabati anahitajika Faraja Islamic Kivule, Dar es Salaam

    Kwny usaf kama hamuangalii dini ,Mimi naomba hta kufanya usafi au kupika maana interview mlinifanyisha na mkaniacha kisa dini cjui
  12. bless 2011

    JamiiForums Tanzania Mwl Physics na Mathematics anatafuta shule ya kufundisha

    Weka tangazo vzr dear edit hapo gender age location education level etc ... Mungu akutangulie
  13. bless 2011

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi wanawake wengi hujifungua kwa njia ya upasuaji?

    Hapo kwny sababu zisizo za kitabibu naongezea pointi nyingine; wamama kuogopa kuumwa uchungu
  14. bless 2011

    JamiiForums Tanzania Set ya machine ya kunyolea inauzwaje?

    Asante
  15. bless 2011

    JamiiForums Tanzania Set ya machine ya kunyolea inauzwaje?

    Kwa wenye biashara ya Barber shop au saluni ya kiume naomba kujua set ya mashine ya kunyolea ni bei gan?? Au Kwa kuanza biashara hiyo unaweza kununua nusu ya seti au hta moja wapo tu ili biashara ianze? Naomba msaada Kwa wazoefu wa biashara hii.
Back
Top Bottom