Set ya machine ya kunyolea inauzwaje?

Set ya machine ya kunyolea inauzwaje?

bless 2011

Member
Joined
Dec 20, 2021
Posts
19
Reaction score
17
Kwa wenye biashara ya Barber shop au saluni ya kiume naomba kujua set ya mashine ya kunyolea ni bei gan?? Au Kwa kuanza biashara hiyo unaweza kununua nusu ya seti au hta moja wapo tu ili biashara ianze? Naomba msaada Kwa wazoefu wa biashara hii.
 
Back
Top Bottom