fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,682
- 23,989
Ngoja nifuatilieSio sahihi kuna wapya kibao tu wameomba na wameitwa hiyo maana yako sio sawa na hii list.
Lqbda kama wapo na wale walio omba mwaka jana na wame apply this time pia.
Ngoja nifuatilieSio sahihi kuna wapya kibao tu wameomba na wameitwa hiyo maana yako sio sawa na hii list.
Lqbda kama wapo na wale walio omba mwaka jana na wame apply this time pia.
Wewe unawafahamu wote mkuu?Ngoja nifuatilie
Hapana, nataka nifuatilie kama hii ni list mpya au ni ya wale waliopita. Hili linawezekanaWewe unawafahamu wote mkuu?
Jarkata ndo kitu gani?Hongereni wote mlioitwa kwenye usaili. Kama ya Jarkata mmeyasahau anzeni kujikumbusha. Kama uliiva imeiva tu,
Tip;
Mchujo wa kwanza kwenye kwata, written (comprehension) then oral mwisho mtamaliza na vipimo vya afya kabla list haijatoka Tena kwenda kozi. Nawatakia mafanikio mema

JktJarkata ndo kitu gani?![]()
Cdhan mdogo angu ndio ameomba kwa mara ya kwanza majuz tu hapo na jina Lake limetoka hajafanya usahili wowote uleNakumbuka walishafanyaga usaili, mwanzo nilijua ni list mpya kumbe ni walewale walioitagwa mwaka jana.
Ni list mpya, wale wa mwanzo walishaajiriwa. Hizo ndio taarifa nilizopata. Hongera zake sanaCdhan mdogo angu ndio ameomba kwa mara ya kwanza majuz tu hapo na jina Lake limetoka hajafanya usahili wowote ule
Muende Mkatetee Nafasi Zenu, Mtakaopita Muende kulitetea na kulikomboa Taifa.. View attachment 2557546View attachment 2557548View attachment 2557547
Naskia huko list ya majina walio itwa imesha toka je kuna ukweli juu ya hili .!
Mbwembwe nyingi Ila watu wanatafuna takrima kama KenyaHongereni wote mlioitwa kwenye usaili. Kama ya Jarkata mmeyasahau anzeni kujikumbusha. Kama uliiva imeiva tu,
Tip;
Mchujo wa kwanza kwenye kwata, written (comprehension) then oral mwisho mtamaliza na vipimo vya afya kabla list haijatoka Tena kwenda kozi. Nawatakia mafanikio mema
Bado kwa wachunguzi wasaidizi karibu wengi wanasema bado .!
Usaili wakipima njia ya haja kubwa Kwa vidole. Vijana wataumbuka mno. Itabid watangaze nafasi upyaKwani ww ulikuwepo kwenye usahili hadi unasema hivo , utauponza Kama ujui kitu tulia mkuu