Natafuta kazi, nimemaliza Shahada ya Ualimu

bless 2011

Member
Dec 20, 2021
19
17
Nimemaliza bachelor degree of education in history and kiswahili language (2019)mwenye nafasi ya kazi katika taasisi yoyote ile naomba msaada wako iwe ndani au nje ya field yangu nitashukuru sana.

Nipo Lindi Nachingwea

Jinsia; female
Age; 29
 
Nimemaliza bachelor degree of education in history and kiswahili language (2019)mwenye nafasi ya kazi katika taasisi yoyote ile naomba msaada wako iwe ndani au nje ya field yangu nitashukuru sana. Nipo Lindi nachingwea

Jinsia; female
Age; 29
Muamini Mungu ipo siku utakufungulia milango ya baraka. Ninakuombea sana ndugu yangu.
 
Kuna shida sana katika kuchagua course, matangazo mengi ya ajira ninayoyaona ni B'administration , accounts ,ma doctor,HR
Hii ni issue ya upepo tu,but kwa ualimu hakukosea kuchagua maana wenyewe wanakuwa wanaomba directly Tamisemi na kila mwaka wanatoa kazi,maybe hajabahatika kuchaguliwa ila cha muhimu aendelee kuomba huku akimtanguliza Mungu.
 
Mkuu nitext namba y'ako pm.then on a hapa !
IMG-20221005-WA0001.jpg
 
Nimemaliza bachelor degree of education in history and kiswahili language (2019)mwenye nafasi ya kazi katika taasisi yoyote ile naomba msaada wako iwe ndani au nje ya field yangu nitashukuru sana.

Nipo Lindi Nachingwea

Jinsia; female
Age; 29
kama upo lindi nachingwe usiogope kaka
tafuta shule ya serikali jitolee kwa kufundisha kwa bidii kabisa.... hope watakuapa mpaka na makazi na viposho posho
nunua vishamba/anza kwa kukodi. lima ufuta na baadae korosho
utakuja nishukuru baadae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom