Ofisi za ASA Microfinance TZ Ltd ziko wapi?

Ofisi za ASA Microfinance TZ Ltd ziko wapi?

ASA ipo Kinondoni Makaburini, Sasa wewe sijui unatokea wapi.
 
Zamani nakumbuka zilikuwa kariakoo mtaa wa mafia karibu na sandaland tower,ila sina huakika kama pale ndo HQ.
 
Back
Top Bottom