Natafuta kazi ya kufundisha

bless 2011

Member
Dec 20, 2021
19
17
Msaada mwenye connection na shule yoyote naweza fundisha nitashukuru hata kwa kujitolea ili mradi niwe napata posho kidogo haijalishi private au government, pia iwe secondary au primary nitashukuru, pia sio lazima kufundisha kazi nyingine ikiwepo nitashukuru.

Nimesoma Bachelor Degree of Education in History & Kiswahili 2019

Jinsia: KE
Umri: 29

Napatikana Dar es Salaam but niko tayari kufundisha mkoa wowote ule

Simu: 0654 008866
 
Issue ya aijra imekua tatizo sana. Nchi hii watu wanapata shida sana, mabinti wanasoma kwa shida sana wengine kwa kujibana na kuutunza utu wao lkn wakifika mtaani dunia inawageuka, dunia inakua katili, wanakosa ajira, ajira zinakua za kubebana.. serikalini mpaka ajira za secretary kama hujuani na mtu huzipati.

Mwisho wa siku serikalini panakua pa kundi fulani.

Inaumiza.. pole sana binti, pole utapata kazi
 
Tunahitaji mwalimu wa kujitolea wa SoMo la kiingereza ngazi ya Elimu msingi. Eneo ni makambako. Nyumba IPO na umeme. Posho laki moja 100000. Piga 0757758117
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom