Circle
Member
- Jan 9, 2022
- 21
- 6
Ndugu Wana Jamii Forum, poleni na majukumu ya kulijenga taifa.
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu Cha Dar es salaam (UDSM) tawi la DUCE, nimehitimu mwaka 2018, ngazi ya degree.
Nimekuja kwenu mnipe connection ya kazi kufundisha masomo ya Fizikia pamoja na Hisabati , either kwa shule yoyote unayoifahamu yenye uhitaji ama kama wewe mhusika wa bandiko hili waweza niunganisha.
Nina uzoefu usiopungua miaka 3 wa kufundisha Fizikia na Hisabati kwa O'level na pia kufundisha Hisabati kwa A' level mwaka mmoja(1).
Kwa maelezo mengine waweza nipata kwa namba hii +255758234994. Napatikana Dar es salaam.
Natanguliza shukrani zenu.