Recent content by Black Queen

  1. Black Queen

    JamiiForums Tanzania Kweli kutongoza kiboko, si baunsa, bosi wala nani wote ni matonya tu

    Kulia ni kulia tu!
  2. Black Queen

    JamiiForums Tanzania Anataka vitu alivyonihonga nimrudishie eti.

    Likisha kupathua utafute mwingine wa kukuugudha eh! Dume zima hovyooooo!
  3. Black Queen

    JamiiForums Tanzania wanawake wengine wazuri jamani!!!

    Macho hayafilisi duka ati!
  4. Black Queen

    JamiiForums Tanzania Siri hujenga au hubomoa mahusiano?

    Utata mtupu! Siri kuhusu watoto, pesa haijengi kabisa. Wanaume wengine hawana vifua ukimpa kidogo tu yaliyojiri enzi hizo wanapaniki! ya nini masumbufu! Lakini ni vizuri pia ajue kuwa anaweza kufundishwa vilevile, asijifanye anayajua mambo saana!
  5. Black Queen

    JamiiForums Tanzania Lina na Amini wanatuchora!

    Hovyoooo!!!
  6. Black Queen

    JamiiForums Tanzania mambo kumi ambayo wanawake wamewazidi wanaume haya hapa

    Mmemaliza?
  7. Black Queen

    JamiiForums Tanzania wanawake wanaoolewa They are not SMART

    U smart kulala vijigesti na kupewa vi chenji? Polee. Huna lolote watuonea gere tulio ndoani!
  8. Black Queen

    JamiiForums Tanzania Ladies:- Je unaweza kuolewa na mwanaume aliye na watoto wanne kwa wanawake watatu tofauti tofauti?

    U special gani nilionao ndo anioe? Labda kama nataka kutoa nuksi ndo nitaolewa naye
  9. Black Queen

    JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE: Download Rasimu ya Kwanza ya Katiba Mpya hapa na toa maoni

    Twashukuru sana
  10. Black Queen

    JamiiForums Tanzania Nani mlevi zaidi.......

    Wamefungana!
  11. Black Queen

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi wenyewe humu!

    Karibu uketi
  12. Black Queen

    JamiiForums Tanzania Nimehongwa gari na X Girlfriend, mke wangu hataki kuliona

    Na mkeo akipewa zawadi ya birthday na X wake uipokee kwa "mikono miwili"
  13. Black Queen

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu huyu ananitega!

    Tamaa tu inakusumbua huna lolote! Wanaume wengine bwana mkiheshimiwa mnatamani, msipoheshimiwa maneno, mwataka nini haswa? Na huyo shemeji shule anaenda saa ngapi? Usiku? Huo muda wa kukuhudumia asubuhi anatoa wapi?
  14. Black Queen

    JamiiForums Tanzania Precision Air mmezidi

    Tatizo kubwa la precision hawatoi taarifa mapema kama kuna tatizo, ingawaje wanachukua namba za simu
  15. Black Queen

    JamiiForums Tanzania kabla ya kufua nguo tuzikague, sharo kimemkuta leo

    Sayansi Kimu, Ala kumbe tumetoka mbali eh!
Back
Top Bottom