Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,437
Jana kama ilivyo ada mimi na mwanangu (pamoja na mke wake) tumeenda sehem inaitwa kibo biznenga (maarufu sana kwa nyama nyuma ya best bite)
Ile kuingia tu pemben walikaa watu watatu! Jamaa mmoja na wadada wawili. Sasa mmojawapo ya wadada hao wawili jamaaaaaaniiii!! Ana sura nzuri huyo mdadaa!!! Macho mazuri!!! Figure nzuri!!! Rangi nzuri!!!
swali ni je kuna watu wengine walijichagulia maumbo!!!?
Kama huna cha kuandika tulia kimya. Nyamaza kabisa. Soma michango ya wenzako.