Anataka vitu alivyonihonga nimrudishie eti.

Anataka vitu alivyonihonga nimrudishie eti.

Mrudishie, ni sawa na ukiajiliwa sehemu ukiwa unaondoka unarejesha mali za office husika then unatembea
 
Wadau....nilikua na sugar mamy moja ivi mitaa ya tandika. Kusema ukweli likikua likinifadhili mambo mengi. Lakin kutokana na tabia yake ya mawivu ya kijinga na kujifanya kunibana...kila time niwe nalo..kiukweli nilishindwa kuvumilia. Hasa makelele yake...kila siku kesi..na ugomvi usioisha. Ikabidi nilikimbie na kuja huku Mtwara. Ndiko nnakofanyia kazi kwasasa. Sasa kila siku linanisumbua kwenye simu...kwamba nilirudishie vitu vyake lilivyokua linanipa...mfano...cheni...simu..nguo...etc

Limesema..na nukuu.." litanifanya mbaya..litanipasua"


Nisaidieni wadau...ushauri.

Mhh anaweza kukulipa utamu na mat..mbo ulikua unampa akadata?,ask her then nipe jibu ndo ntakwambia cha kufanya.
 
thatha Mithita inamaana thatha HEAVEN ON ETHI ameshaandha kukuhonga!! thiulituma barua jana tu. ila heven on heath nae thijui ana pendaje hivi thatha yaani thiku moja tu anakudai dhawadi dhake
 
Back
Top Bottom