Precision Air mmezidi

Precision Air mmezidi

Unajua unaamka alfajili kwa ajili ya kuwahi flight ya 7.10am, unahamaki labda umechelewa unaamua kuendesha mwenyewe ukihisi anayekuendesha ajui Kama umechelewa. Unapark haraka unacheckiwa na security haraka. Unafika kwenyekucheckin counter Mara mnaambiwa ndege yenu imepata hitirafu haipo. Na baada ya taarifa hiyo mnabaki mnatazamana na staff wa precision wapita pita tu bila taarifa yoyote. Jamani hawa precision mpaka lini hii?

classic%20custom.jpg
 
Si mtumie usafiri wetu wa mabasi kama akina sie, km chache gari inasimama tunachimba dawa kwa raha zetu.......!

Au sio? Tena siku hizi mabasi yetu full luxury! Kama air bus ya qatar,tunaenjoy tu!
 
Fastjet ni DECI mtaniambia baada ya mwaka mmjo biashara ya air hapa bongo ni ngumu sana isipime mpaka mafisadi wasiwepo
Ndugu, hao jamaa wapo strategic, sio design ya Community Airline na wengine kama hao... so they will expand and be very successful..
 
Usafiri wa anga kwa medani za Tanzania sio kama mnavyofikiri wanandugu, kama vipi pandeni mabasi.

nipo kwenye kilimanjaro raha tupu kutalii ninachek milima mabonde na uoto wa asili nina haraka gani nipande ndege nikifika higway nikula nyama kwa kwenda mbele.ila watu wa kanda ya ziwa na nyanda za juu usafri wa ndege utawafaa kwenu mbali kutoka bongo so dreva lazima achoke
 
We bana acha mkishuka majority mnaulizana bodaboda wapi toka airport.

Tatizo lenu nyie wenye uwezo hampendi sisi walalahoi tupande unaona sasa mi hata mbugani sijawahi fika kutokana na gharama kuwa kubwa
 
Tatizo kubwa la precision hawatoi taarifa mapema kama kuna tatizo, ingawaje wanachukua namba za simu
 
anaesema fasjet ni mteremko atakuwa na mawazo potofu
huo ndio ushindani wa kibiashara
mliona air tanzania walipochukua ndege ya kukodi dubai bei zilishuka
ikawa mizengwe
fast jet wanatafuta soko
baadae wataongeza ndege zingine na vijana watapata ajira zaidi,
uzuri wa airline industry hakuna kukubaliana bei kati ya mashirika
bei ni uamuzi wa kila shirika na hakuna mwenye ruhusa kumshtaki au kusemea mwenzie anamuulia soko
kwa sasa precision wanahaha na hawana budi kushusha bei zao la sivo watakufa kifo cha mende
 
Unanichokoza, nitakuchapa makofi hadharani wewe. Haya niambie uko wapi? umeadimika kojo la kuku!!!

Haya wewe mpenda vitu expensive tupe uzoefu wako basi....nipo sana tu,baadae nitapitia nyumbani kama utakuwepo.
 
Niliwahi kuambiwa ndege imejaa nina return tkt Dar -KIA! Nikasubiiri 6 hrs next flight, tume board tayari kwa kuondoka tukasubiri tena 30min eti wanamsubiri abiria amechelewa! Ndani kule ac hazifanyi kazi sawa sawa joto watu tunajipepea, tukaanza ku-shout haikusaidia. Kali zaidi njiani tukapewa biscuits na azam juice.
Haya mambo tunayaona Precision thanks to fast jet watajipanga vizuri
 
Abiria 46 waliokuwa wasafiri leo na ndege ya Precision wametelekezwa katika uwanja wa ndege wa Bukoba bila kupewa maelezo.

Msaidizi wa kituo cha hali ya hewa Leonard Katwale amesema hali ya hewa ilikuwa nzuri ingawa Rubani aliyetajwa kwa jina la Kapten Lugaba alisema aliishia Mwanza, na baada ya hapo kwenda Nairobi.


air 3.jpg air 4.jpg air.jpg air 2.jpg goli.jpg
 
Back
Top Bottom