Recent content by billymambo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Tangazo la Philips ndio yenye we sauti safi sauti kubwa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

    Watumishi hewa hawalipwi safari hii
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msichana ajifungulia chooni katika Hospitali ya Amana

    Kama amepata mimba akiwa na miaka 16,ameaanza ngono akiwa na miaka 9
  4. B

    JamiiForums Tanzania George Mgoba kijana wa JKT bado anasota ndani DPP msaada wako

    Huyo alitaka kupindua nchi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Vifungo Kukaa Kulia na Kushoto

    Hata maumbile yapo tofauti,ukimuona shoga ni sawa na umemuona mwaname alie vaa vifungo upande wa kushoto
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ni nani mtu wa kwanza kusema hallo katika simu?

    Huwa naanza na habari yako
  7. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli yametimia ?

    My be
  8. B

    JamiiForums Tanzania Asante Mizengwe( maigizo) leo ujumbe wenu umetisha balaaa

    Kumbe ndio hivyo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ndege kubwa zaidi duniani kuanza kufanya kazi soon

    Antonov ndio ilioleta mitambo ya Richmond hapa Tanzania, ni balaa
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mange awalipua wauza unga

    Unga unahitaji ushilikishwaji wa jamii kwa ujumla ili kuutokomeza, hao wakina chid watu walikua wanawaona tangu mwanzo lakini sasa wanashangaa mazara yake kanakwamba mwanzo hawakujua
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha magonjwa ya mlipuko Musoma vijijini, watu wanaangamia kwa kipindupindu

    Ugonjwa wa kipindupindu unatokana na mtu kula mavi mabichi, mtu huyo atatapika na kuhara sana kwa mda mzuri, hivyo hupungukiwa na maji mwilini na kuishiwa nguvu msipo muwahi hupoteza maisha. Hii hitaji watu kutoka halmashauli, hamka usafi unahitajika
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hivi hili suala la kubana matumizi ya Serikali lina mipaka?

    Samahani lkn magari hayo uliyoyataja yanaumuhimu kushinda unavyowaza, na ndio dunian ya leo hauwezi kiongozi ukampa mgongo wa chura au land rover 109,kisa kubana matumizi. Kwa mawazo uliyonayo hata suti utasema anasa
Back
Top Bottom